ACACIA WAWEKA WAZI KIWANGO CHA DHAHABU WALICHOCHIMBA

SHARE:

Kampuni ya uchimbaji madini nchini Tanzania, Acacia (Acacia Mining) imesema kuwa katika robo ya tatu ya mwaka 2017 (Julai-Septemba) imeza...

Kampuni ya uchimbaji madini nchini Tanzania, Acacia (Acacia Mining) imesema kuwa katika robo ya tatu ya mwaka 2017 (Julai-Septemba) imezalisha jumla ya dhahabu 191,203 ounces (5421kg) na kuuza 132,787 ounces (3764kg).
Acacia wameyasema hayo jana katika taarifa waliyoitoa ambapo walieleza kwamba waliitaarifu kampuni mama ya Barrick Corporation’s (Barrick) kuwa watachapisha taarifa kamili kuhusu uzalishaji na uuzaji wa dhahabu katika robo ya tatu ya mwaka (Q3) taarifa itakayojumuisha asilimia 63.9 za umiliki wa Barrick katika shughuli za Acacia.
Wameeleza kuwa uzalishaji huo ulikuwa ni zaidi ya matarajio ambapo katika mgodi wa Buzwagi walizalisha 69,097 ounces (1959kg), North Mara 72,011 ounces (2041kg) na mgodi wa Bulyanhulu 50,094 ounces (1420kg).
Aidha, Acacia wameeleza kuwa, mauzo yalikuwa chini ya malengo kutokana na zuio la usafirishaji nje makinikia (mchanga wa madini) kutoka katika migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi lililowekwa na serikali ya Tanzania.
Pia, wameeleza taarifa za kina zitatolewa katika taarifa rasmi itakayotoka Oktoba 20 mwaka huu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ACACIA WAWEKA WAZI KIWANGO CHA DHAHABU WALICHOCHIMBA
ACACIA WAWEKA WAZI KIWANGO CHA DHAHABU WALICHOCHIMBA
https://3.bp.blogspot.com/-EPSeJrEFC-k/WeCYmWgljmI/AAAAAAAAgKQ/FAV6HDcKZKws9RSnzqjKyN55mcgMS9xhACLcBGAs/s1600/xMW-DG878_gold_ZG_20150304013058-750x375.jpg.pagespeed.ic.Rew63Ttq7l.webp
https://3.bp.blogspot.com/-EPSeJrEFC-k/WeCYmWgljmI/AAAAAAAAgKQ/FAV6HDcKZKws9RSnzqjKyN55mcgMS9xhACLcBGAs/s72-c/xMW-DG878_gold_ZG_20150304013058-750x375.jpg.pagespeed.ic.Rew63Ttq7l.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/acacia-waweka-wazi-kiwango-cha-dhahabu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/acacia-waweka-wazi-kiwango-cha-dhahabu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy