ADHABU KALI WATAKAYOPEWA MADEREVA WANAOKIUKA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

SHARE:

Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim ameeleza kuwa jeshi hilo halitawafumbia macho madereva wote wanaokiuka, ...

Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim ameeleza kuwa jeshi hilo halitawafumbia macho madereva wote wanaokiuka, wasiotii na kuheshimu sheria za usalama barabarani na litawachukulia hatua kali za kisheria ikiwemo kufuta leseni zao za udereva.
“Tutaendelea kuchukua hatua kali kwa madereva ambao watakaidi na kutotii sheria… Dereva aliyesababisha ajali hii na kutoroka, tutahakikisha anakamatwa na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria na leseni yake itafutwa. Hatoendesha gari tena,” alisema Kamanda Fortunatus.
Kamanda Muslim ameyaeleza hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo, baada ya kutokea ajali jana majira ya usiku, ambapo lori lililokuwa limebeba shehena ya mahindi pamoja na watu, lilipinduka katika hifadhi ya Ruafi, Kata ya Kate, Wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa.
Ajali hiyo imepelekea vifo vya watu 14 pamoja na majeruhi 10, na chanzo kilielezwa kuwa ni uzembe pamoja na mwendo kasi wa dereva.
Aidha Kamanda Muslim amewataka madereva wote wa magari ya mizigo kuacha tabia ya kuzidisha mizigo au kupakia abiria katika magari hayo kwani hayakutengenezwa kwa kazi hiyo.
“Napenda nitoe rai kwa madereva madereva kuzingatia sheria, kuacha kuendesha magari kwa mwendo kasi na hatarishi, kuacha kubeba abiria katika magari ya mizigo. Vitendo ambavyo vimekuwa ni hatarishi na vimekuwa vyanzo vya ajali zinazosababisha vifo vya watu wengi na majeruhi,” alisema Kamanda Muslimu.
Vile vile amewataka wananchi kutoa taarifa kwa Jeshi la polisi, pindi watakapoona madereva wanaoendesha kwa mwendo hatarishi, waliopakia abiria katika magari ya mizigo na mambo mengine yanayohatarisha usalama ili waweze kuchukiliwa hatua stahiki ikiwemo kushtakiwa mahakamani na kufutiwa leseni zao za udereva.
“Natoa rai kwa wananchi kuacha kupanda magari ya mizigo ili kuepusha madhara makubwa yanayotokea pale ajali zinapotokea,” alieleza Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ADHABU KALI WATAKAYOPEWA MADEREVA WANAOKIUKA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
ADHABU KALI WATAKAYOPEWA MADEREVA WANAOKIUKA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
https://1.bp.blogspot.com/-0UhAAwm6h8w/WdTx1f22NaI/AAAAAAAAfd4/v6tmbTKUfnUjv-Bzlvgj3mLtHEGKSeoEwCLcBGAs/s1600/xCapture-2-750x375.jpg.pagespeed.ic.yBNOAmY3vB.webp
https://1.bp.blogspot.com/-0UhAAwm6h8w/WdTx1f22NaI/AAAAAAAAfd4/v6tmbTKUfnUjv-Bzlvgj3mLtHEGKSeoEwCLcBGAs/s72-c/xCapture-2-750x375.jpg.pagespeed.ic.yBNOAmY3vB.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/adhabu-kali-watakayopewa-madereva.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/adhabu-kali-watakayopewa-madereva.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy