ALIKIBA, MCHUMBA’KE KIMENUKA

SHARE:

DAR ES SALAAM: MKALI anayetamba na wimbo wa  Seduce Me, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’  amedaiwa kuingia kwenye mgogoro na mpenzi wake anayefah...

DAR ES SALAAM: MKALI anayetamba na wimbo wa Seduce Me, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ amedaiwa kuingia kwenye mgogoro na mpenzi wake anayefahamika kwa jina la Amina Khaleef.
Kwa mujibu wa chanzo, Kiba na mchumba huyo ambaye wana malengo ya mbali, walizinguna baada ya hivi karibuni kuzagaa kwa picha zinazomuonesha staa huyo akiwa na mrembo aitwaye Carlo jijini Mwanza.
“Yani nakwambia kimenuka, unajua yeye (Amina) yule si unajua anaishi Mombasa sasa akiona tu picha kwenye mitandao huwa ni ngumu sana kuelewa kama ni uzushi.
“Ishu ilifahamika kabisa kwamba haina ukweli wowote lakini kwa mchumbake mambo yalikuwa tofauti. Amegoma kabisa kuelewa,” kilivujisha mchapo huo chanzo chetu cha uhakika.

Amani lilimvutia waya Kiba ili kumsikia anazungumziaje ubuyu huo, simu yake iliita bila kupokelewa. Hata hivyo, alipopigiwa mmoja wa maneja wake ambaye aliomba hifadhi ya jina, alikiri kutokea kwa tafrani hiyo lakini akasema ni mambo ya kawaida hivyo wanaweza kulimaliza.

“Si unajua kwenye uhusiano vitu kama hivyo ni vya kawaida, huwa yanatokea mara kwa mara na wana-solve hivyo hata hili naamini litapita.
“Ni kama vile mimi na wewe inavyotokea hata wao pia inatokea, ni mambo ya kawaida,” alisema meneja huyo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ALIKIBA, MCHUMBA’KE KIMENUKA
ALIKIBA, MCHUMBA’KE KIMENUKA
https://4.bp.blogspot.com/-yRuB-l44wKA/Wd8vPNfsuYI/AAAAAAAAf94/sRUHN6jU28Iz9ns4hKZTLSutyiptL4WAgCLcBGAs/s1600/ALI-KIBA.png
https://4.bp.blogspot.com/-yRuB-l44wKA/Wd8vPNfsuYI/AAAAAAAAf94/sRUHN6jU28Iz9ns4hKZTLSutyiptL4WAgCLcBGAs/s72-c/ALI-KIBA.png
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/alikiba-mchumbake-kimenuka.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/alikiba-mchumbake-kimenuka.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy