ALIYEKUWA MCHEZAJI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA

SHARE:

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya wanafa...

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya wanafamilia wawili wa soka vilivyotokea Oktoba 5, 2017 kwa nyakati tofauti.
Taarifa ambazo TFF imezipata zinasema waliofariki dunia siku hiyo ni aliyekuwa Mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’; Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’; pamoja na Afrika Mashariki miaka ya 1950 na 1960, Abdul Majham na Mwamuzi wa Daraja la Kwanza anayechezesha Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Mirambo Tshikungu.
“Hakika nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za vifo hivi. Ni mshtuko mkubwa sana katika familia ya mpira wa miguu hapa Tanzania, natambua pia ni majonzi makubwa kwa familia za marehemu,” amesema Rais Karia.
“Niombe tu kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, majirani kuwa watulivu katika kipindi hiki cha msiba. Wawe na moyo wa subira baada ya ndugu zetu kutanguliwa mbele ya haki. Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwingi wa Rehema, basi na tumuombe awe na msamaha kwa ndugu zetu,” amesema.
Abdul Majham aliyefariki dunia huko Visiwani Zanzibar ni Mchezaji huyo wa zamani wa Klabu ya Vikokotoni ya visiwani Zanzibar, pia aliyepata kuichezea klabu Bingwa ya kwanza ya Tanzania, Cosmopolitan ya Dar es Salaam.
Kuhusu Tshikungu, TFF imepokea taarifa inayosema kwamba alifariki dunia jioni ya Oktoba, 2017 katika Hospitali ya Ikonda iliyoko Wilaya ya Makete mkoani Njombe alikokuwa akitibiwa.
Mwenendo wa uchezeshaji wake ulikuwa na tija kwani rekodi zinaonesha kwamba mchezo wake mkubwa kuuchezesha msimu uliopita ulikuwa ni kati ya Majimaji ya Songea na Young Africans ya Dar es Salaam uliofanyika Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ALIYEKUWA MCHEZAJI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA
ALIYEKUWA MCHEZAJI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA
https://2.bp.blogspot.com/-QVtqb4Q2qeA/WdqN-6h7ApI/AAAAAAAAflc/cGwhAiULv08EZWzjAp5bzWLJc1fcdpwyACLcBGAs/s1600/620x349.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-QVtqb4Q2qeA/WdqN-6h7ApI/AAAAAAAAflc/cGwhAiULv08EZWzjAp5bzWLJc1fcdpwyACLcBGAs/s72-c/620x349.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/aliyekuwa-mchezaji-wa-taifa-stars.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/aliyekuwa-mchezaji-wa-taifa-stars.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy