ALIYEWANUNUA MADIWANI ARUSHA AKIMBILIA KWA MGANGA

SHARE:

Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Joshua Nassari amesema kuwa mmoja wa watuhumiwa wa rushwa ya ununuzi wa madiwani mkoani Arusha ame...

Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Joshua Nassari amesema kuwa mmoja wa watuhumiwa wa rushwa ya ununuzi wa madiwani mkoani Arusha ameleta mganga wa kienyeji ili kusaidia kulinda ajira yake.
Katika taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Facebook wa kiongozi huyo, ameandika, “Mmoja wa watuhumiwa wa rushwa ya ununuzi wa madiwani Meru aishie maeneo ya Mukidoma Usa-River ameleta mganga toka Kanda ya Ziwa, na yupo nyumbani kwake.”
Katika taarifa hiyo, Nassari amesema kuwa, mganga huyo ameletwa na mama wa mtuhumiwa kwa lengo moja la kumsaidia mtuhumiwa huyo asipoteze ajira yake.
Juma lililopita, Nassari akiwa ameambatana na wabunge wengine wa CHADEMA waliwasilisha TAKUKURU kile walichosema kuwa ni picha za video zikionyesha namna madiwani wa CHADEMA katika Halmashauri ya Meru walivyonunuliwa na kupelekea kujiuzulu nyadhifa zao na kutimkia CCM.
Miongoni mwa watu wanaotuhumiwa kuhusika katika kitendo hicho ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru.
Licha ya tuhuma za ushahidi huo kutolewa, baadhi ya madiwani waliojiuzulu wamekanusha tuhuma za kununuliwa na kumtaka Nassari kuwaomba msamaha, vinginevyo watakwenda mahakamani kuwashtaki kwa kuwachafua.
Madiwani hao kwa nayakati tofauti wamenukuliwa wakisema kwamba, hawakujiuzulu kwa sababu wamenunuliwa, lakini walijiuzulu ili kumuunga mkono Rais Magufuli kwa namna anavyotenda kazi katika jitihada zake za kuwatumikia wananchi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ALIYEWANUNUA MADIWANI ARUSHA AKIMBILIA KWA MGANGA
ALIYEWANUNUA MADIWANI ARUSHA AKIMBILIA KWA MGANGA
https://2.bp.blogspot.com/-KYqZZxYsJYw/Wd9jxZOy-2I/AAAAAAAAf_w/XDqoTpQxXB0XgaG-SCVlasrOFA4pj4_9QCLcBGAs/s1600/x22406045_1964023087204934_1392758974637960576_n-750x375.jpg.pagespeed.ic.3HK2hh7H2v.webp
https://2.bp.blogspot.com/-KYqZZxYsJYw/Wd9jxZOy-2I/AAAAAAAAf_w/XDqoTpQxXB0XgaG-SCVlasrOFA4pj4_9QCLcBGAs/s72-c/x22406045_1964023087204934_1392758974637960576_n-750x375.jpg.pagespeed.ic.3HK2hh7H2v.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/aliyewanunua-madiwani-arusha-akimbilia.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/aliyewanunua-madiwani-arusha-akimbilia.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy