BEN POL AFUNGUKA SABABU NNE ZA KUACHIA ALBAM

SHARE:

Mkali wa muziki wa R&B na zouk nchini Tanzania, Ben Pol ameweka wazi sababu kuu nne zilizomfanya aamue kuachia albam katika kipindi h...

Mkali wa muziki wa R&B na zouk nchini Tanzania, Ben Pol ameweka wazi sababu kuu nne zilizomfanya aamue kuachia albam katika kipindi hiki ambacho wasanii wengi wa bongo fleva wameachana na utaratibu huo.
Ben Pol ambaye ametoa rasmi albam yake Jana inayokwenda kwa jina la ‘The Best of Ben Pol, amesema sababu ya kwanza ya kufikia uamuzi huo ni kuwashirikisha mashabiki wake safari yake ya muziki, ili waone alikotoka na hapo alipo sasa.
Sababu ya pili aliyoitaja ni kupambana na changamoto za biashara ya muziki kwa upande wa albam, akidai kuwa dawa ya kupambana na kuporomoka kwa soko la albam ni kutoa albam.
“Ni kweli soko la albam lina changamoto lakini ni lazima tutoe albam ili tuweze kuzitatua,” Amesema.
Msanii huyo amesema sababu ya tatu ya kutoa albam ni kujijenga kimataifa, akidai kuwa msanii yeyote mkubwa anatambulika kimataifa kupitia albam alizotoa na si idadi ya ‘single’.
Sababu ya nne iliyomfanya Ben Pol kuja na albam hiyo ni hamu ya kuwaachia mashabiki wake kitu cha kumbukumbu na ndiyo maana katika albam hiyo ameamua kuchanganya nyimbo zake mbalimbali ambazo zimewahi kubamba na kumuwekea shabiki wake katika CD moja ili aweze kuburudika wakati wowote, mahali popote.
Albam hiyo ina nyimbo 15 ambazo ni pamoja na Kidume aliyomshirikisha Chidma, Pete 2 aliyoimba na Rama Dee, Yatakwisha aliyomshirikisha Linah, Jikubali na Moyo mashine iliyotikisa anga la bongo fleva kwa siku za karibuni.
Ngoma nyingine zilizomo katika albam hiyo ni pamoja Maboma, Samboile, Form, Natuliza Ball, Phone, Tatu pamoja na The Best of Ben Pol iliyobeba jina la albam.
The Best of Ben Pol ambayo ni ‘audio’ inapatikana kwa gharama shilingi 10,000 kwa CD moja.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: BEN POL AFUNGUKA SABABU NNE ZA KUACHIA ALBAM
BEN POL AFUNGUKA SABABU NNE ZA KUACHIA ALBAM
https://4.bp.blogspot.com/-yO1alA3S7GM/Wd9OsXwU3pI/AAAAAAAAf_E/6bDHHT-ZUbUlIwt7-ykJXFAG_GCxTQcawCLcBGAs/s1600/ben-pol-albam_1507727212-1600x705.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-yO1alA3S7GM/Wd9OsXwU3pI/AAAAAAAAf_E/6bDHHT-ZUbUlIwt7-ykJXFAG_GCxTQcawCLcBGAs/s72-c/ben-pol-albam_1507727212-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/ben-pol-afunguka-sababu-nne-za-kuachia.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/ben-pol-afunguka-sababu-nne-za-kuachia.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy