BENKI YA EXIM YAZIDI KUWASOGEZEA HUDUMA WANANCHI, YAFUNGUA TAWI JIPYA DODOMA

SHARE:

Benki ya Exim Tanzania imethibitisha kujitolea kuimarisha ushirikishwaji wa wananchi kwenye mfumo rasmi wa kifedha nchini kwa kuzindua ta...

Benki ya Exim Tanzania imethibitisha kujitolea kuimarisha ushirikishwaji wa wananchi kwenye mfumo rasmi wa kifedha nchini kwa kuzindua tawi jipya katika mkoa wa Dodoma, Tanzania. Utanuzi huu utaongeza uwepo wa Benki ya Exim kuwa na jumla ya matawi 33 nchini kote.
Akizungumza katika uzinduzi rasmi Fredrick Kanga, Mkuu wa kitengo cha Rasilimali Watu katika Benki ya Exim Tanzania, alisema, “Utanuzi wa benki ni sehemu ya mkakati wetu wa kukuza huduma zetu katika maeneo ambayo yanatuleta karibu na wateja wetu. Tawi litatoa huduma kamili za kibenki kama vile kuhifadhi pesa, huduma za uwekezaji, na suluhisho za malipo ya kampuni.”
Tawi la Dodoma, lililopo ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma, litawahudumia wateja wa Chuo Kikuu hiko, ambacho kina wanafunzi zaidi ya 25,000, wafanyakazi 2000 na Wizara za Serikali zaidi ya 8 ambazo zimehamia huko. Tawi litawatumikia wateja wa Jiji la Dodoma pia, kwa kuwa tawi lina umbali wa dakika 5 hadi 7 kwa mwendo wa gari kutoka katikati ya jiji.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mheshimiwa Jordan Rugimbana alipongeza Benki ya Exim Tanzania kwa kujitolea kwake, “Tunafurahi kuwa na uwepo wa Benki ya Exim katika mji mkuu wa Tanzania, ili kuimarisha ushirikishwaji wa wananchi kwenye mfumo rasmi wa kifedha unaowawezesha kupata huduma, bidhaa za kifedha, na mitaji kwa jamii na watu binafsi wa Dodoma.”
Benki ya Exim ilitambuliwa kama benki bora kwa huduma ya wateja binafsi mwaka huu na taasisi ya The Banker ya Afrika Mashariki na sasa inasherehekea miaka 20 ya mafanikio, ukuaji na kuwa kiongozi katika kuingia katika masoko mapya barani Afrika.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: BENKI YA EXIM YAZIDI KUWASOGEZEA HUDUMA WANANCHI, YAFUNGUA TAWI JIPYA DODOMA
BENKI YA EXIM YAZIDI KUWASOGEZEA HUDUMA WANANCHI, YAFUNGUA TAWI JIPYA DODOMA
https://3.bp.blogspot.com/-N_xzC2y3PiU/WeCaU8c9gzI/AAAAAAAAgKk/MrPrKkg4hpwBx17qBDbgyi-8em7Gn9izQCLcBGAs/s1600/DSC_0100-750x375.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-N_xzC2y3PiU/WeCaU8c9gzI/AAAAAAAAgKk/MrPrKkg4hpwBx17qBDbgyi-8em7Gn9izQCLcBGAs/s72-c/DSC_0100-750x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/benki-ya-exim-yazidi-kuwasogezea-huduma.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/benki-ya-exim-yazidi-kuwasogezea-huduma.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy