BENKI YA TPB YATOA MSAADA WA MASHUKA NA VYANDARUA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA

SHARE:

  Mkurugenzi wa uendeshaji na Teknohama kutoka makao makuu ya benki ya Posta (TPB) Jema Msuya (wa pili kutoka kushoto) akikabidhi mashuka...

 Mkurugenzi wa uendeshaji na Teknohama kutoka makao makuu ya benki ya Posta (TPB) Jema Msuya (wa pili kutoka kushoto) akikabidhi mashuka na vyandarua kwa afisa takwimu wa halmashauri ya mji wa Kahama Flora Sangiwa ambaye alimwakilisha mkurugenzi.
*****
Takriban wagonjwa elfu 24 hadi elfu 30 wanapokelewa kila mwezi katika hospitali ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga idadi ambayo inatajwa kuwa ni kubwa ukilinganisha na miundombinu ya hospitali hiyo.

Hayo yamesemwa leo na Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo, Dr. Fredrick Malunde wakati akipokea msaada wa mashuka 100 na vyandarua 50 vyenye thamani ya shilingi milioni mbili vilivyotolewa na Benki ya TPB.

Amesema kutokana na wingi wa wagonjwa wadau wanapaswa kuguswa kutoa misaada ya vifaa ili kukabiliana na changamoto hizo.

Naye Mkurugenzi Uendeshaji na Teknohama kutoka makao makuu ya Bank ya TPB Jema Msuya amesema Benki hiyo itaendelea kusaidia kuchangia miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali huku akiwaomba wadau wengine wajitokeze kusaidia sekta za afya.

Afisa Takwimu wa Halmashauri yam Mji wa Kahama, Flora Sangiwa ambaye amemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo amesema halmashauri hiyo itaendelea kuthamani michango ya wadau wa maendeleo na kuipongeza benki ya TPB kwa msaada huo.

ANGALIA MATUKIO KATIKA PICHA

Wafanyakazi wa Benki ya TPB wakisomba vyandarua na mashuka mara baada ya kufika katika hospitali ya wilaya ya Kahama.
Afisa mawasiliano wa Benki ya TPB Moves Moses akiwaonyesha waandishi wa habari ubora wa vyandarua walivyovitoa katika hospitali hiyo. 
Wafanyakazi wa Benki ya TPB wakiteta jambo muda mchache kabla ya kuanza kwa zoezi la ugawaji wa mashuka na vyandarua.


Mganga mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Kahama Fredrick Malunde akiteta jambo na meneja wa tawi la TPB Kahama wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo.
Baadhi wa wahudumu wa afya katika hospitali ya wilaya ya kahama wakiwa katika eneo la tukio kushuhudia utolewaji wa msaada huo wa mashuka na vyandarua.


Waandishi wa habari na baadhi ya viongozi wa hospitali ya wilaya ya Kahama na wafanyakazi wa TPB wakifuatilia zoezi la utolewaji wa vifaa hivyo.
Mganga mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Kahama Fredrick Malunde aliyesimama akitoa tathmini ya hali ya hospitali kuhusu upungufu wa mashuka na vyandarua katika hospitali hiyo.
Baadhi ya wahudumu wa afya wakifuatilia zoezi la utolewaji wa vifaa hivyo katika hospitali ya wilaya ya Kahama.
Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Kahama Dr Lucas David aliyesimaam akitoa neno la shukrani kwa bank ya tpb katika zoezi la kupokea vifaa hivyo.

Afisa takwimu wa halmashauri ya mji wa Kahama Frola Sangiwa aliyemwakilisha mkurugenzi wa mji akitoa neno kwa niaba ya halmashauri.


Mkurugenzi wa uendeshaji na Teknohama kutoka makao makuu ya Benki ya TPB Jema Msuya akitoa neno wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo.

Afisa takwimu wa halmashauri ya mji wa Kahama Frola Sangiwa aliyemwakilisha mkurugenzi wa mji akimkabidhi bahasha ya neno la shukrani Jema Msuya kutoak Benki ya TPB


Picha pamoja baada ya makabidhiano ya vifaa hivyo katika hospitali hiyo.
Mkurugenzi wa uendeshaji na Teknohama kutoka makao makuu ya Benki ya TPB Jema Msuya akiwa na mganga mfawidhi wa hospitali hiyo Dr. Fredrick Malunde wakimfunika mgonjwa na shuka jipya lililotolewa na benki ya TPB


Zoezi la kuwafunika wagonjwa likiendelea katika wodi ya wanawake.

Wafanyakazi wa Benki ya TPB wakitoka katika hospitali hiyo

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: BENKI YA TPB YATOA MSAADA WA MASHUKA NA VYANDARUA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA
BENKI YA TPB YATOA MSAADA WA MASHUKA NA VYANDARUA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA
https://4.bp.blogspot.com/-7DamZN_M_xM/WeDPbUKUyLI/AAAAAAAAgM0/6xLK5CQsdFQmgMcfUyNIydBvGTIAaxDPQCLcBGAs/s1600/IMG_3897.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-7DamZN_M_xM/WeDPbUKUyLI/AAAAAAAAgM0/6xLK5CQsdFQmgMcfUyNIydBvGTIAaxDPQCLcBGAs/s72-c/IMG_3897.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/benki-ya-tpb-yatoa-msaada-wa-mashuka-na.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/benki-ya-tpb-yatoa-msaada-wa-mashuka-na.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy