BONDE LA EYASI WEMBERE LAONYESHA DALILI YA UWEPO WA MAFUTA

SHARE:

Imeelezwa kuwa miamba iliyo katika Bonde la Eyasi Wembere hususani mabonde madogo (sub basin) ya Wembere na Manonga yaliyopo katika mikoa...

Imeelezwa kuwa miamba iliyo katika Bonde la Eyasi Wembere hususani mabonde madogo (sub basin) ya Wembere na Manonga yaliyopo katika mikoa ya Tabora, Shinyanga, Singida na Simiyu inawezekana kuwa na mafuta kutokana na sifa zake za Kijiolojia na Kijiofizikia.
Hayo yameelezwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini (Uganda), Robert Kasande na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini (Tanzania), Dkt Mhandisi Juliana Pallangyo katika Mkutano na Wananchi uliofanyika katika kijiji cha Mwashiku wilayani Igunga mkoani Tabora. Mkutano huo uliandaliwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanry.
Viongozi hao walitoa kauli hiyo baada ya timu ya wataalam kutoka Uganda na Tanzania kufanya ziara katika Bonde hilo hususan mabonde madogo ya Wembere na Manonga na kutembelea miamba inayoonekana katika maeneo ya Sekenke mkoani Singida, na vijiji vya Mwanzugi na Kining’inila mkoani Tabora.
Timu ya wataalam kutoka Uganda na Tanzania wakiwa eneo linalofanyiwa tafiti ya uwezekano wa uwepo wa mafuta, timu hiyo inaongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (Tanzania) na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini (Uganda), Robert Kasande
Kwa upande wake Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini wa Uganda alieleza kuwa baada ya kuona dalili hizo Timu hiyo itatoa mapendekezo mbalimbali kwa Wataalam wa Tanzania ili kuweza kufikia lengo la Serikali la kuchimba Mafuta katika Bonde la Eyasi na Ziwa Tanganyika .
Alisema kuwa endapo Mafuta yatapatikana katika Bonde hilo yataweza kusafirishwa katika Bomba la Mafuta linalotoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga na kuweza kuuzwa ndani na nje ya nchi.
Aliongeza kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kugundua mafuta katika Bonde hilo kwani nchini nyingine ambazo Bonde hilo linapita kama Kenya na Uganda tayari wamegundua Mafuta.
Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo alisema kuwa kupatikana kwa mafuta katika eneo hilo kutaimarisha hali ya uchumi nchini na kuwaasa wananchi kujiandaa na fursa za kiuchumi ikiwemo utoaji wa huduma mbalimbali wakati wataalam wakiwa wanafanya shughuli mbalimbali za kitafiti katika eneo husika.
Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanry aliwataka wananchi wanaozunguka Bonde hilo na Viongozi wa Serikali katika Mkoa huo kutoa ushirikiano kwa wataalam watakaofanya kazi za kitafiti ili zoezi hilo liweze kufanyika kwa ufanisi.
Naye, Mjiofizikia kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli, (TPDC), Sindi Maduhu alisema kuwa bonde hilo la Eyasi Wembere lina ukubwa wa Kilomita za mraba 19,197 likiwa na takwimu za awali za kijiofizikia (Airborne gravity gradiometry) zilizokusanywa na kutafsiriwa mwaka 2015/2016.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: BONDE LA EYASI WEMBERE LAONYESHA DALILI YA UWEPO WA MAFUTA
BONDE LA EYASI WEMBERE LAONYESHA DALILI YA UWEPO WA MAFUTA
https://4.bp.blogspot.com/-Xl_8i4E_Heg/WdSSsouRWsI/AAAAAAAAfa0/2iHm2COiApwtLampBj6lhIqXSsaGOM3bACLcBGAs/s1600/xWhatsApp-Image-2017-10-04-at-8.28.32-AM-768x508-750x375.jpeg.pagespeed.ic.si-rBKv7CN.webp
https://4.bp.blogspot.com/-Xl_8i4E_Heg/WdSSsouRWsI/AAAAAAAAfa0/2iHm2COiApwtLampBj6lhIqXSsaGOM3bACLcBGAs/s72-c/xWhatsApp-Image-2017-10-04-at-8.28.32-AM-768x508-750x375.jpeg.pagespeed.ic.si-rBKv7CN.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/bonde-la-eyasi-wembere-laonyesha-dalili.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/bonde-la-eyasi-wembere-laonyesha-dalili.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy