BUNGE KENYA LAPITISHA MABADILIKO YA SHERIA YA UCHAGUZI

SHARE:

Bunge la Kenya limepitisha mabadiliko ya sheria ya uchaguzi inayodaiwa kuwa na utata jana, Jumatano. Sheria hiyo imeweka wazi kuwa iwapo ...

Bunge la Kenya limepitisha mabadiliko ya sheria ya uchaguzi inayodaiwa kuwa na utata jana, Jumatano. Sheria hiyo imeweka wazi kuwa iwapo mgombea urais katika uchaguzi ujao atajiondoa basi mgombea aliyesalia atatangazwa kuwa mshindi.
Mabadiliko hayo yamekosolewa vikali na upinzani, ambao wabunge wake walisusia kuyapigia kura baada ya kiongozi wao Raila Odinga, Jumanne kujitoa katika kinyang’anyiro cha uchaguzi  wa marudio  uliopangwa kufanyika Oktoba 26, wakisisitiza juu ya haki na uwazi.
Odinga, amedai kuwa, mabadiliko hayo si halali, na kuwataka wafuasi wao kuingia mitaani na kuandamana kila siku hadi maafisa wa tume ya uchaguzi wanaolalamikiwa kuharibu uchaguzi wa Agosti 8 uliowafanya washindwe waondolewe au wajiuzuru.
Uhuru Kenyatta na Raila Odinga ndiyo wagombea ambao walitangazwa kushiriki kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya urais  katika uchaguzi wa marudio  baada ya Mahakama ya Juu nchini humu kufuta matokeo ya uchaguzi wa Agosti 8 ambao ulimtangaza rais Kenyatta mshindi, kutokana na sababu za kukiukwa kwa baadhi ya taratibu na sheria na kuamriwa IEBC kurudia uchaguzi huo ndani ya siku 60.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: BUNGE KENYA LAPITISHA MABADILIKO YA SHERIA YA UCHAGUZI
BUNGE KENYA LAPITISHA MABADILIKO YA SHERIA YA UCHAGUZI
https://2.bp.blogspot.com/-kmQmokS3Xfc/Wd9MoZWR73I/AAAAAAAAf-0/mgE23o-o3NUUNL2ZUGzVRk5nR-MNuy_mgCLcBGAs/s1600/PARLIAMENT-INSIDE_1507797424-1600x705.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-kmQmokS3Xfc/Wd9MoZWR73I/AAAAAAAAf-0/mgE23o-o3NUUNL2ZUGzVRk5nR-MNuy_mgCLcBGAs/s72-c/PARLIAMENT-INSIDE_1507797424-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/bunge-kenya-lapitisha-mabadiliko-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/bunge-kenya-lapitisha-mabadiliko-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy