CATALONIA WAJIPANGA KUTANGAZA UHURU WAO SIKU CHACHE ZIJAZO

SHARE:

Waandamanaji wa Catalonia walipokuwa mbele ya polisi wa Hispania Catalonia inatarajiwa kutangaza uhuru wake kutoka Hispania siku chac...

Waandamanaji wa Catalonia walipokuwa mbele ya polisi wa Hispania
Catalonia inatarajiwa kutangaza uhuru wake kutoka Hispania siku chache zijazo, kwa mujibu wa kiongozi wa eneo hilo.
Katika mahojiano yake ya kwanza tangu upigwe kura ya maoni siku ya Jumapili, Carles Puigdemont amesema kuwa serikali yake itachukua hatua mwishoni mwa wiki hii au mwanzoni mwa wiki ijayo.
Wakati huo huo mfalme wa Hispania Felipe VI, amasema kuwa waratibu wa kura hiyo walikiuka sheria.
Amesema kwa sasa, hali ya nchini Hispania, ni mbaya na kutoa wito wa kuungana na kuwa wamoja.
Mvutano kati ya Hispania na Catalonia unazidi kukua tangu jamii hiyo inayotaka kujitenga kuamua kupiga kura ya maoni juu ya jambo hilo, huku vurugu kadhaa zikishuhudiwa na kupelekea kudhorotesha kwa baadhi ya shughuli.
Maelfu ya watu katika eneo la Catalonia wamekuwa katika mgomo, wakipinga uwepo wa polisi wa Hispania wakati wa zoezi la upigaji kura, ambapo takriban watu 900 walijeruhiwa sambamba na Polisi 33.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: CATALONIA WAJIPANGA KUTANGAZA UHURU WAO SIKU CHACHE ZIJAZO
CATALONIA WAJIPANGA KUTANGAZA UHURU WAO SIKU CHACHE ZIJAZO
https://3.bp.blogspot.com/-43MuHCojUg8/WdT0Dq0mCbI/AAAAAAAAfeU/rpIPSGqPfXUvSfU83P_XxF2uPOGBhZk_gCLcBGAs/s1600/Catolinia_1507116350-1600x705.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-43MuHCojUg8/WdT0Dq0mCbI/AAAAAAAAfeU/rpIPSGqPfXUvSfU83P_XxF2uPOGBhZk_gCLcBGAs/s72-c/Catolinia_1507116350-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/catalonia-wajipanga-kutangaza-uhuru-wao.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/catalonia-wajipanga-kutangaza-uhuru-wao.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy