CHADEMA YAKARIBISHWA KUFANYA MIKUTANO IKULU

SHARE:

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na vyama vingine vyote vya upinzani nchini vimekaribishwa Ikulu kwenda kufanya mikutan...

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na vyama vingine vyote vya upinzani nchini vimekaribishwa Ikulu kwenda kufanya mikutano yao kama vinataka.
Hayo yamesemwa leo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole alipokuwa akijibu swali lwa mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini CCM wanafanyia vikao vya chama Ikulu.
Mwandishi huyo wa habari alishangazwa na kitendo cha Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (CHADEMA) kuhojiwa kwa kosa la kufanyika kikao cha chama katika ofisi za Manispaa, lakini viongozi wa CCM wakaachwa  licha ya kuwa wamefanyika vikao vyao Ikulu ambayo si ofisi ya chama bali ni ya umma.
Akijibu swali hilo Polepole alisema kuwa, kwanza Meya sio mmiliki wa mali za manispaa na kwamba yeye katika manispaa anayo ofisi kama watumishi wengine na kwamba anatakiwa kwenda hapo kwa siku chache tu kama inavyoelezwa na sheria.
“Meya si mwenye manispaa, Meya si mmiliki wa mali za manispaa. Meya ana ofisi tu kwenye manispaa ambayo anatakiwa akae mle kwa siku kadhaa, sio muda wote, hivyo ni makosa kwa Meya kutumia mali za manispaa kwa matumizi yake binafsi,” alisema Polepole.
Polepole aliendelea kusema kuwa, Meya anatakiwa kutumia gari la ofisi kwa siku zilizoelezwa kisheria lakini pia kwa kazi ambazo zimeanishwa bayana, hivyo kuitisha vikao binafsi katika ofisi za manispaa za serikali ambayo iko chini ya dhamana ya Mkurugenzi ni kosa.
Polepole alisema kwamba Meya hawezi kutumia ukumbi wa Manispaa kwa sababu mwenye dhamana ya ukumbi huo ni Mkurugenzi wa Manispaa husika.
Akieleza kwanini ni halali kwa Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama kufanyia vikao vya chama Ikulu, Polepole alisema, tulimachagua mtu mmoja tu Tanzania nzima na kumpa dhamana ya kuwa Rais Mtendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
“Tumempa ofisi yake, Ikulu, tukampa nyumba Ikulu, wageni wake asiwaalike Ikulu,! wakazungumze!” alihoji Polepole.
Ikulu ndipo mahala Rais anapoishi, ndipo pahala usalama wake unakuwa imara zaidi.
Aidha, Polepole amesema kuwa Rais ambaye Ikulu ndipo makazi yake yalipo, hajasema vyama vingine haviwezi kwenye kufanyia vikao vya kule, na badala yake vinakaribishwa na viombe kwa kufuata taratibu ili vipatiwe kumbi za kufanya hivyo.
“Rais ambaye ndiye ana dhamana ya Ikulu hajasema vyama vingine visiombe kufanya mikutano Ikulu. Hivyo kama kuna vyama vimeguswa vinataka kufanyia mikutano yao Ikulu, nashauri vifuate taratibu za kuomba kutumia ukumbi wa ikulu kufanya mikutano yao,” alifafanua Polepole.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: CHADEMA YAKARIBISHWA KUFANYA MIKUTANO IKULU
CHADEMA YAKARIBISHWA KUFANYA MIKUTANO IKULU
https://2.bp.blogspot.com/-DeTUndMNgyg/WdCraEuQJHI/AAAAAAAAfaQ/yijFJiGsxZ0ZSf8PwNuPNK7mx62ppPDmgCLcBGAs/s1600/x3348706-750x375.jpg.pagespeed.ic.Gc9mdNUQJC.webp
https://2.bp.blogspot.com/-DeTUndMNgyg/WdCraEuQJHI/AAAAAAAAfaQ/yijFJiGsxZ0ZSf8PwNuPNK7mx62ppPDmgCLcBGAs/s72-c/x3348706-750x375.jpg.pagespeed.ic.Gc9mdNUQJC.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/chadema-yakaribishwa-kufanya-mikutano.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/chadema-yakaribishwa-kufanya-mikutano.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy