CHUO KIKUBWA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI KUJENGWA ARUSHA

SHARE:

Kwa upande wake Mhe. Rais Magufuli amemshukuru Mtukufu Karim Al-Hussaini Aga Khan kwa taasisi zake kutoa huduma za kijamii hapa nchini, l...

Kwa upande wake Mhe. Rais Magufuli amemshukuru Mtukufu Karim Al-Hussaini Aga Khan kwa taasisi zake kutoa huduma za kijamii hapa nchini, lakini ametoa wito kwa taasisi hizo kupunguza gharama za huduma zake kwa wananchi ili wananchi waweze kumudu hasa ikizingatiwa kuwa zimekuwa zikipata msamaha wa kodi kutoka Serikalini.
Mhe. Rais Magufuli amesema Serikali ya Awamu ya Tano ipo tayari kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano na Aga Khan na amemuomba kiongozi huyo kuendelea kupanua uwigo wa huduma za taasisi zake ikiwa ni pamoja na kuwekeza Mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Serikali.
Kwa upande wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Aga Khan Mtukufu Karim Al-Hussaini amesema yeye haamini kuwa ni kipaumbele kwa vyombo vya habari kujikita katika masuala ya siasa na badala yake anaamini kuwa vyombo vya habari vina wajibu mpana zaidi wa kujikita katika masuala ya maendeleo hususani katika nchini zinazoendelea, na kwamba Aga Khan ipo katika mchakato wa kujikita katika wajibu huo kwa kuwa na waandishi wa habari na wachambuzi mahiri.
Wakati huo huo, Mhe. Rais Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Maseneta wa Baraza la Seneti la Marekani ambao ni wajumbe wa kamati ya mazingira inayoshughulikia hifadhi ya taifa, wanyamapori na misitu ya Marekani ambao wamekuwepo hapa nchini kwa siku 3 kwa lengo la kutembelea hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.
Maseneta hao ni Mhe. James Inhofe, Mhe. Mike Enzi, Mhe. David Perdue, Mhe. Luther Strange, Mhe. Tim Scott na Mhe. John Thune.
Baada ya Mazungumzo hayo Mhe. Seneta James Inhofe na Mhe. Seneta Mike Enzi wamemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kukutana nao na kuwakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka nchini Marekani kuja kuwekeza hapa nchini na wamekiri kuwa Tanzania inazo rasilimali nyingi ambazo ni fursa muhimu ya kukuza uchumi.
Mazungumzo kati ya Maseneta hao na Mhe. Rais Magufuli yamehudhuriwa na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Dkt. Inmi Patterson.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Seneta James Inhofe pamoja na Maseneta wa Baraza la Marekani  walipotembelea na kufanya mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri wa Viwanda Biashara na uwekezaji Charles Mwijage,Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamiss Kigwangala,Naibu Waziri wa Mambo ya nje Suzane Kolimba pamoja  Maseneta wa Baraza la Marekani wakiongozwa na Seneta James Inhofe mara baada ya kufanya mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitazama kitabu cha Seneta James Inhofe kilichoonyesha picha za maeneo mbalimbali ya Tanzania alipotembelea mwaka mmoja na nusu uliopita,tukio hilo limefanyika Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na  Seneta James Inhofe pamoja na Maseneta wa Baraza la Marekani  walipotembelea na kufanya mazungumzo na mhe,Rais Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea kiongozi wa Jumuiya ya Ismailia H.H.Prince Karim al-Hussayni Aga Khan alipotembelea Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta  jambo na kiongozi waJumuiya ya Ismailia H.H.Prince Karim al-Hussayni Aga Khan alipotembelea Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na kiongozi waJumuiya ya Ismailia H.H.Prince Karim al-Hussayni Aga Khan alipotembelea Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
11 Oktoba, 2017

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: CHUO KIKUBWA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI KUJENGWA ARUSHA
CHUO KIKUBWA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI KUJENGWA ARUSHA
https://2.bp.blogspot.com/-6-nKZEhLWCk/Wd4zBtgrlxI/AAAAAAAAf2g/3iN8s1auiTY1PMLjDpuY8o58q_9TWup-gCLcBGAs/s1600/x8-2-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.sfmdh7xgFp.webp
https://2.bp.blogspot.com/-6-nKZEhLWCk/Wd4zBtgrlxI/AAAAAAAAf2g/3iN8s1auiTY1PMLjDpuY8o58q_9TWup-gCLcBGAs/s72-c/x8-2-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.sfmdh7xgFp.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/chuo-kikubwa-zaidi-afrika-mashariki.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/chuo-kikubwa-zaidi-afrika-mashariki.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy