DANGOTE AELEZA UHUSIANO WAKE WA SASA NA RAIS MAGUFULI

SHARE:

Mwekezaji mkubwa na mwanzilishi wa Dangote Group ambaye ni raia wa Nigeria, Aliko Dangote amesema kuwa uhusiano wake na nchi ya Tanzania ...

Mwekezaji mkubwa na mwanzilishi wa Dangote Group ambaye ni raia wa Nigeria, Aliko Dangote amesema kuwa uhusiano wake na nchi ya Tanzania ni mzuri na hauna matatizo yoyote.
Dangote ameyasema hayo katika mkutano wa FT Afrika unaofanyika London Uingereza na kuhudhuriwa na watu mashuhuri kutoka maeneo mbalimbali duniani.
Mwekezaji huyo ameeleza kuwa Uhusiano wake na Rais Magufuli ni mzuri na kuitaka Tanzania kuziangalia upya sera zake kama inataka kuwavutia waekezaji wengi zaidi.
“Uhusiano wangu na Rais Magufuli uko sawa lakini Tanzania lazima itazame upya sera zake kama inataka kuvutia wawekezaji,” alisema Dangote.
Dangote pamoja na watu wengine mashuhuri wakiwemo viongozi wa maeneo mbalimbali duniani wamehudhuria mkutano huo wa FT Africa wenye lengo la kuangazia changamoto zinazolikumba bara la Afrika na namna ya kuzitatua unaofanyika kila mwaka na mwaka huu umefanyika huko London, Uingereza kuanzia  Oktoba 8 hadi Oktoba 9.
Kauli mbiu ya mkutano huo ni ‘what is working in Africa’ ikiwa na maana ya ‘nini kinachofanya kazi katika Afrika’ ikiwa na dhumuni la kuangazia ni kwa namna gani bara hilo linaweza kunufaika kutokana na fursa, rasilimali na utajiri uliopo humo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: DANGOTE AELEZA UHUSIANO WAKE WA SASA NA RAIS MAGUFULI
DANGOTE AELEZA UHUSIANO WAKE WA SASA NA RAIS MAGUFULI
https://1.bp.blogspot.com/-nY8ZCUOxcr4/WduDFBQHaGI/AAAAAAAAfo8/YSZuUjxo_n4mAvq-fBA9hoamTRBOWFNRwCLcBGAs/s1600/xunnamed-13-750x375.jpg.pagespeed.ic.iRyK_2FaZ7.webp
https://1.bp.blogspot.com/-nY8ZCUOxcr4/WduDFBQHaGI/AAAAAAAAfo8/YSZuUjxo_n4mAvq-fBA9hoamTRBOWFNRwCLcBGAs/s72-c/xunnamed-13-750x375.jpg.pagespeed.ic.iRyK_2FaZ7.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/dangote-aeleza-uhusiano-wake-wa-sasa-na.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/dangote-aeleza-uhusiano-wake-wa-sasa-na.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy