DHAHABU ILIYOKUWA INATOROSHWA YAKAMATWA

SHARE:

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inawashikilia watu wawili kwa kukutwa wakisafirisha dhahabu yenye uzito wa kilogramu 6.2...

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inawashikilia watu wawili kwa kukutwa wakisafirisha dhahabu yenye uzito wa kilogramu 6.2 iliyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi 500.3 milioni isivyo halali.
Mkurugenzi wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko aliwataja watu hao kuwa ni Akifa Mohamed na Jaffer Hussein na kueleza kwamba walikamatwa katika eneo ambalo hutumiwa na wasafiri wanaokwenda Zanzibar.
Mhandisi Kakoko alieleza kwamba tukio hilo lilitokea Oktoba 10, mwaka huu saa 5:20 usiku eneo la Azam Sea Link/DMI, wakati askari wa TPA na wa vyombo vya ulinzi na usalama, walipokuwa katika ukaguzi wa abiria, mizigo na magari yaliyokuwa yakiingia katika meli ya MV Azam Sea Link – I.
Alisema watu hao wawili walikuwa wa mwisho kufika eneo hilo wakiwa na gari aina ya Toyota Noah na begi lililokuwa na dhahabu hizo lilifichwa katika siti za nyuma.
Aliongeza kuwa mwanzoni watuhumiwa hao walikataa kupekuliwa ila baada ya kubanwa ndipo walikubali na mzigo huo kupatikana.
Kakoko alisema watuhumiwa hao walipohojiwa mmoja alieleza kwamba nyaraka zote za madini hayo ziko Zanzibar lakini uchunguzi umebaini kuwa hakuna nyaraka zozote, huku mwingine akieleza alipewa dhahabu hizo azisafirishe.
Alileza kuwa watu hao wanashikiliwa katika kituo cha Polisi cha Bandari ya Dar es Salaam na watafunguliwa shtaka la kupatikana na madini isivyo halali.
Dereva wa gari hilo alikimbia baada ya kushtukiwa, na gari linashikiliwa huku dereva huyo akisakwa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: DHAHABU ILIYOKUWA INATOROSHWA YAKAMATWA
DHAHABU ILIYOKUWA INATOROSHWA YAKAMATWA
https://3.bp.blogspot.com/-EweX81cIF1Q/WeCjUjl6KKI/AAAAAAAAgLA/XQOLI2yWAu4JNqYGKJMSBZ3O0y0v3gDVgCLcBGAs/s1600/gold-696x393.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-EweX81cIF1Q/WeCjUjl6KKI/AAAAAAAAgLA/XQOLI2yWAu4JNqYGKJMSBZ3O0y0v3gDVgCLcBGAs/s72-c/gold-696x393.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/dhahabu-iliyokuwa-inatoroshwa-yakamatwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/dhahabu-iliyokuwa-inatoroshwa-yakamatwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy