DK.KIGWANGALLA AANZA ZIARA YA SIKU TATU YA KUIMARISHA MFUMO WA AFYA MKOANI LINDI

SHARE:

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh.  Dkt. Hamisi Kigwangalla amenza ziara ya kuimarisha mfumo wa Afya M...

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh.  Dkt. Hamisi Kigwangalla amenza ziara ya kuimarisha mfumo wa Afya Mkoani Lindi ambapo ameweza kutembelea na kukagua Zahanati, vituo vya Afya na Hospitali zilizopo Mkoani hapa huku pia akitoa maagizo mbalimbali ya maboresho.
Ziara hiyo ya siku tatu iliyoanza mapema siku ya Oktoba 3,2017  kwa Wilaya za Kilwa na Lindi Vijijini Mkoani  hapa. Dk. Kigwangalla aliweza kutembelea Hospitali ya Wilaya ya Kilwa ya Kinyonga pamoja na kituo cha Nanjilinji  na kile cha Kilwa Masoko ambapo alijionea mambo mbalimbali huku akitoa maagizo ya utekelezaji.
Miongoni mwa maagizo hayo ni pamoja na kuhakikisha wanafunga mfumo wa malipo wa kielektroniki kwenye malipo na maeneo yote ya malipo.
“Naagiza ndani ya mwezi mmoja muwe mumefunga mfumo wa kielektroniki wa malipo ili muongeze mapato ndani ya vituo vyote vy Afya. Kwasasa mfumo huu umeshuka hadi ngazi ya vituo vya Afya.. ndani ya mwezi mmoja muwe tayari mumefunga mfumo huu na hii ni ndani ya vituo  vyako vyote vilivyopo mkoa huu wa Lindi.
Ndani ya  siku 60,mutekeleze agizo  hili la vifaa vya Maabara. Maboresho yawakute mukiwa mumetekeleza  mambo haya mfumo wa Maabara.” Alielleza Dk. Kigwangalla wakati wa akitoa maagizo kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Dk.Genchwele Makenge
Wilaya ya Kilwa: Ina Vituo 55 vya kutolea huduma, hospitali 2, vituo vya Afya 5 na Zahanati 42 huku kati ya hizo zingine zipo katika hatua mbalimbali zikiwemo zile zinazofanya kazi na ambazo zinaendelea kutengenezwa na  zilizo kwenye hatua za matengenezo.
“Mpaka sasa tumepoteza watumishi 58, waliokumbwa na zoezi la vyeti feki hii ni idara tu ya Afya. Kwa sasa watumishi wengi tulionao ni wahudumu wa Afya.  Kwa sasa watumishi mbadala tummepata 30 tu wanaokuja idara ya Afya, hivyo kwa mikakati tulionayo tunaendelea kuona tutakavyoona tunatatua tatizo hili” alieleza Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Dk. Vitalis Katalyeba.
Kwa upande wa Hospitali ya Wilaya ya Kilwa ya Kinyonga, Dk. Kigwangalla amewataka kuhakikisha wanazingati mfumo wa usafi ndani ya chumba cha upasuaji,  Chumba cha kujifungulia wamama wajawazito pamoja na kuhakikisha mfumo wa malipo wa kielektroniki unafanya  kazi kwa ufanisi.
Aidha, Dk. Kigwangalla ameweza kutembelea kituo cha Afya Nanjirinji ambapo amekikuta katika hali mbaya hivyo kuagiza mara moja watekeleze maagizo haraka.
“Naagiza wiki hii isiishe. Nataka Daktari afike hapa kituoni na kufanya kazi. Naagiza tena ndani ya miezi mitatu pakarabatiwe kituo hichi hasa maabara.
Tunataka kituo kiwe kituo haswa. Hichi sio kituo maana kinaonekana kama Zahanati, muongeze wafanyakazi na maboresho mengine yote ili kituo hiki kiwe  na hadhi yake.” Alieleza Dk. Kigwangalla.
Katika kukagua huko,Dk. Kigwangalla ameweza kushuhudia kituo hiko kikiwa katika hali mbaya huku wafanyakazi watano tu pasipokuwa na Daktari zaidi ya Wauguzi na mtaalam mmoja pekee wa Maabara hali ambayo iliyomladhimu kuagiza mara moja Daktari aletwe kituoni hapo na kufanya kazi ndani ya siku mbili huku pia akiagiza jengo lililokuwa likiendelea kujengwa kuhakikisha linabadilishwa matumizi kusudiwa na kujengwa Chumba cha Upasuaji ili kuokoa wananchi wa Nanjirinji ambao wanafuata huduma umbali mrefu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: DK.KIGWANGALLA AANZA ZIARA YA SIKU TATU YA KUIMARISHA MFUMO WA AFYA MKOANI LINDI
DK.KIGWANGALLA AANZA ZIARA YA SIKU TATU YA KUIMARISHA MFUMO WA AFYA MKOANI LINDI
https://3.bp.blogspot.com/-QqPyoTnD4E4/WdVEoPUtx7I/AAAAAAAAfgE/qy1XQXN65doKSKiyvsFn6iBEw7Ivv45uwCLcBGAs/s1600/DSC_4879-702x375.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-QqPyoTnD4E4/WdVEoPUtx7I/AAAAAAAAfgE/qy1XQXN65doKSKiyvsFn6iBEw7Ivv45uwCLcBGAs/s72-c/DSC_4879-702x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/dkkigwangalla-aanza-ziara-ya-siku-tatu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/dkkigwangalla-aanza-ziara-ya-siku-tatu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy