FAIDA ZA KUWA NA MPENZI MWENYE HAMU KUBWA YA KUFANYA MAPENZI

SHARE:

Katika mahusiano, kujamiiana ni moja ya jambo linalohuisha penzi. Watu wengi wamekuwa wakigombana na wenza wao au wamechepuka kwa sababu ...

Katika mahusiano, kujamiiana ni moja ya jambo linalohuisha penzi. Watu wengi wamekuwa wakigombana na wenza wao au wamechepuka kwa sababu tu wamenyimwa penzi.
Katika jamii nyingi duniani inaaminika kuwa mwanaume ndiye mwenye hamu kubwa ya kufanya mapenzi. Wengine wamediriki hata kusema kuwa mwanaume huwaza mapenzi mara nyingi zaidi ya mwanamke. ndiyo ni kweli kwa kiasi fulani, lakini hili haithibitishi kuwa mwanamke hawi na hamu ya kujamiiana.
Wanawake huwa na hamu ya kujamiiana kama walivyo wanaume. Ila kutokana na jamii inavyowachukulia, wao kuwa wa kwanza kumwambia mwanaume kuwa wana hamu ya kujamiiana inawawia vigumu.
Jambo hili huwatesa sana, siyo wao tu, bali hata wanaume ambao hawajawajua vizuri wenza wao.
Hizi hapa ni faida za kuwa na mwenza mwenye hamu kubwa ya kufanya mapenzi.
Kamwe hatokudanganya
Wanawake wengi wamekuwa wakidanganya kuwa wamefikia kileleni ili tu kuwaridhisha wapenzi wao, jambo ambalo huwa si kweli. Ukiwa na mwanamke mwenye hamu kubwa ya kufanya mapenzi, hatokudanganya, badala yake atakufundisha namna sahihi ya wewe kufanya ili wote mfike kileleni na mpate kufurahia tendo la kujamiiana.
Hatoogopa kukuanza
Ni kawaida kwa wanawake kuogopa kuanza kumueleza mwanaume kuwa wanataka kufanya mapenzi, badala yake hutumia ishara mbalimbali ambazo wakati mwingine huwa ni vigumu kwa baadhi ya wanaume kuwaelewa. Wasipoeleweka mwisho wa siku huishia kuugulia hisia zao.
Unapokuwa na mpenzi ambaye haogopi kukueleza wewe mwanaume kuwa ana hamu ya kujamiiana, ni jambo zuri na la kufurahia. Kwani kwa namna hiyo anakurahisishia hata wewe kujiandaa na kumuandaa kwani akili yake tayari imeshajiweka katika hali ya kujamiiana. Hivyo itawafanya wote mfurahi na kuridhika na hii itaimarisha uhusiano wenu.
Huwa muwazi
Wanawake wengi wanapokuwa katika mahusiano, huogopa kuweka wazi mambo yanayowafurahisha, aina za ufanyaji wa mapenzi wanazozipendelea na hata sehemu ambazo wakishikwa wanasisimuka zaidi, kwa kuogopa kuonekana ‘malaya’. Hali hii huwafanya washindwe kufurahia kufanya mapenzi kwa kiwango na kutoridhika.
unapokuwa na mwenza ambaye ni muwazi, atakueleza na hatosita kukufundisha jambo jipya wewe mwanaume na mwisho wa siku wote mtaburudika na kulifurahia tendo.
Atakurahisishia kazi
kwa wanaume mnaelewa ni jinsi gani inavyokuwa vigumu kumuandaa mwanamke pasipo kumjua vyema. unashindwa kuelewa kama anafurahia ama anakerwa na unachomfanyia. kazi inakuwa kubwa na ngumu kwa wewe kuelewa ni kipi hasa umfanyie. Lakini kama mpenzi wako amekuwa muwazi kwako, amekueleza mambo anayoyapendelea na yanayomfurahisha wakati mnajamiiana, basi kwako haitokuwa kazi kubwa. Badala yake utafurahia na utamridhisha sawa sawa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: FAIDA ZA KUWA NA MPENZI MWENYE HAMU KUBWA YA KUFANYA MAPENZI
FAIDA ZA KUWA NA MPENZI MWENYE HAMU KUBWA YA KUFANYA MAPENZI
https://1.bp.blogspot.com/-Wzc7hN8Bd0I/Wd_Ckl5QzjI/AAAAAAAAgCU/vX4qqrBzDWw9HkklHhvpM0zB2hJ--3XRACLcBGAs/s1600/in-bed-630x336.png
https://1.bp.blogspot.com/-Wzc7hN8Bd0I/Wd_Ckl5QzjI/AAAAAAAAgCU/vX4qqrBzDWw9HkklHhvpM0zB2hJ--3XRACLcBGAs/s72-c/in-bed-630x336.png
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/faida-za-kuwa-na-mpenzi-mwenye-hamu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/faida-za-kuwa-na-mpenzi-mwenye-hamu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy