FATAH NA HAMAS WAMALIZA TOFAUTI ZAO

SHARE:

Kundi la Hamas la nchini Palestina limetangaza kufikia muafaka na kundi hasimu la Fatah kuashiria mwisho wa uhasama wa muda mrefu. Kund...

Kundi la Hamas la nchini Palestina limetangaza kufikia muafaka na kundi hasimu la Fatah kuashiria mwisho wa uhasama wa muda mrefu.
Kundi hilo la Hamas linaloshikilia ukanda wa Gaza limedai kuwa maelezo kamili ya mkataba huo yatattolewa siku ya Alhamisi ingawa hadi sasa kundi la Fatah halijazungumza chochote kuhusiana na makubaliano hayo.
Nchi ya Misri ndiyo iliyokuwa ikisimamia mazungumzo ya kumaliza tofauti za makundi hayo.
Raia wa Palestina wanaoishi kwenye maeneo ya Gaza na West Bank wamekuwa wakiishi chini ya tawala mbili tofauti za makundi hayo kufuatia mapigano makubwa yaliyozuka mwaka 2007 baina ya makundi hayo.
Kituo cha habari kinachounga mkono kundi la Hamas kilitangaza kufikiwa kwa makubaliano hayo na kudai taarifa zaidi zitatolewa mchana kwenye mkutano wa waandishi wa habari.
Siku ya Jumatano, msemaji wa kundi la Hamas, Sami Abu Zuhri alidai kuwa mazungumzo baina ya makundi hayo yalikuwa ‘ya kina na makini’.
Mwezi uliopita kundi la Hamas lilikubali kuifuta kamati iliyokuwa ikiongoza Gaza.
Hatua hiyo ilikuwa ni takwa la msingi la rais wa Palestina, Mahmoud Abbas ambaye chama chake cha Fatah kinaongoza sehemu sehemu kubwa ya Mamlaka ya Palestina pamoja na baadhi ya maeneo ya West Bank.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: FATAH NA HAMAS WAMALIZA TOFAUTI ZAO
FATAH NA HAMAS WAMALIZA TOFAUTI ZAO
https://2.bp.blogspot.com/-JASIRL-4v7c/Wd8n8_Q7ozI/AAAAAAAAf8w/Zj1Ha8cB7z0AUG1MIFzqPUm_VCCMaAJ7QCLcBGAs/s1600/Hamas_1507796325-1600x705.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-JASIRL-4v7c/Wd8n8_Q7ozI/AAAAAAAAf8w/Zj1Ha8cB7z0AUG1MIFzqPUm_VCCMaAJ7QCLcBGAs/s72-c/Hamas_1507796325-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/fatah-na-hamas-wamaliza-tofauti-zao.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/fatah-na-hamas-wamaliza-tofauti-zao.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy