FEDHA TSH MILIONI 600 ZAIPONZA VETA

SHARE:

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ameitaka Mamlaka ya Elimu, na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kurejesha har...

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ameitaka Mamlaka ya Elimu, na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kurejesha haraka fedha ambazo ni masurufu  kiasi cha shilingi milioni 600 ambazo hazionekani kwenye kumbukumbu na wala hazina maelezo kuwa zimetumikaje.
Waziri Ndalichako ameyasema hayo leo mkoani Dodoma wakati akizungumza na menejimenti ya Taasisi hiyo mkoani Dodoma ambapo amewataka wale wote waliohusika na kutumia fedha hizo wazirejeshe na ziweze kufanya kazi iliyokusidiwa vinginevyo fedha hizo zikatwe kwenye mishahara yao.
Waziri Ndalichako amesema haridhishwi na uwajibikaji wa Taasisi hiyo kutokana na   kushindwa kusimamia shughuli za utekelezaji na badala kufanya kazi kwa mazoea.
Waziri Ndalichako ameitaka VETA kuhakikisha inafanya uhakiki wa vyeti kwa kuwa hayo ni maagizo ya Serikali kwa nchi nzima, pia ameelekeza kama zipo taasisi zilizochini ya Wizara yake na hazijafanya uhakiki zifanye haraka.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya  Taasisi hiyo  Peter Maduki amezungumzia suala la uwajibikaji na utendaji kazi ambapo menejimenti imekubaliana kuwa dhana ya ugatuwaji iimarishwe ambapo wamekubaliana kuwa watasambaza waraka ili watumishi wa Taasisi hiyo wausome  na kutoa maoni kwa lengo la kuboresha hadi ifikapo Novemba 30, 2017.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: FEDHA TSH MILIONI 600 ZAIPONZA VETA
FEDHA TSH MILIONI 600 ZAIPONZA VETA
https://2.bp.blogspot.com/-GvLXy3kYnso/WdYgmaTN0AI/AAAAAAAAfg0/-OeTNZ1BoQMCEa_l7sMqfRZk_xO5kxyOACLcBGAs/s1600/C-fGtrUWAAEArit.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-GvLXy3kYnso/WdYgmaTN0AI/AAAAAAAAfg0/-OeTNZ1BoQMCEa_l7sMqfRZk_xO5kxyOACLcBGAs/s72-c/C-fGtrUWAAEArit.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/fedha-tsh-milioni-600-zaiponza-veta.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/fedha-tsh-milioni-600-zaiponza-veta.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy