HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YAPOKEA WATAALAMU 16 KUTOKA CUBA

SHARE:

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imepokea wataalamu 16 kutoka nchini Cuba kama moja ya mikakati yake ya kuboresha utoaji huduma za A...

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imepokea wataalamu 16 kutoka nchini Cuba kama moja
ya mikakati yake ya kuboresha utoaji huduma za Afya ikiwemo kutoa huduma za kibingwa hapa
nchini.
Akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk.Mpoki Ulisubisya alisema kuwa Serikali imepokea madaktari bingwa 6, madaktari bingwa wa usingizi 2, madaktari wa wodi za wagonjwa mahututi 2, Daktari bingwa wa upasuaji wa macho 1, mtaalamu mmoja wa radiolojia pamoja na wauguzi 10 wa vyumba vya wagonjwa mahututi.
“Wataalam hawa mamekuja wakati muafaka, kwasababu kwa kipindi hiki hospitali ya Muhimbili inafanya maboresho ya utoaji huduma , hivyo nina amini uwepo wao hapa kwa miaka miwili, hautakuwa kwa ajili ya kuboresha huduma au kusaidia wagonjwa tu, bali ni nafasi nzuri ya kuwapa ujuzi na mafunzo wataalamu wetu,”alisema Dk.Ulisubisya.
Dk. Ulisubisya amesema kuwa uwepo wa wataalamu hao utaongeza nguvu kazi hususani kwenye utoaji huduma kwa wagonjwa mahututi kwani hospitali hiyo imeongeza vitanda vya wagonjwa mahututi kutoka vitanda 21 hadi 88.
Dk. Ulisubisya ameongeza kuwa wataalamu hao watasaidia kupunguza msongamano kwenye wodi za wagonjwa mahututi pia kupunguza idadi ya wagonjwa kwenda nje kwa ajili ya matibabu kwani huduma za matibabu zitapatikana hapa nchini.
Kwa upande wake,Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Prof.Lawrence Museru amesema kuwa, kutokana na uhaba wa wataalamu kwa kipindi hiki cha maboresho, hospitali imetafuta wataalamu kutoka Cuba ili kuziba pengo hilo.
Prof.Museru alisema kuwa kwa kipindi chote cha miaka miwili, wataalamu hao watatoa mafunzo kwa wataalamu wa hapa nchini ambao utawapa ujuzi na kuwasaidia katika maeneo ya utoaji huduma kama vile huduma za upasuaji macho,wagonjwa mahututi, radiolojia, na usingizi.
Aidha, Dkt. Ulisubisya ametoa wito kwa Taasisi nyingine za Afya nchini, kuiga mfumo unaofanywa na hospitali ya taifa Muhimbili ili kusaidia kupunguza utegemezi serikalini katika kuboresha huduma za Afya.
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imeweka mikakati mbalimbali ya kuboresha utoaji huduma ikiwa ni pamoja na kuongeza wodi za wagonjwa mahututi,Ununuzi wa vifaa tiba, kukarabati na kuongeza vyumba vya upasuaji kutoka 13 hadi kufikia 20, pamoja na kukabiliana na changamoto ya rasilimali watu kwa kupelekeka wataalamu nje ya nchi kwa ajili ya mafunzo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YAPOKEA WATAALAMU 16 KUTOKA CUBA
HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YAPOKEA WATAALAMU 16 KUTOKA CUBA
https://1.bp.blogspot.com/-jLzNx6o1dEM/WdxonSmPVWI/AAAAAAAAfsU/ETZ7XFcives28usX-JdPmAMSFdLa9dRngCLcBGAs/s1600/121-750x375%2B%25281%2529.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-jLzNx6o1dEM/WdxonSmPVWI/AAAAAAAAfsU/ETZ7XFcives28usX-JdPmAMSFdLa9dRngCLcBGAs/s72-c/121-750x375%2B%25281%2529.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/hospitali-ya-taifa-ya-muhimbili-yapokea.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/hospitali-ya-taifa-ya-muhimbili-yapokea.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy