HUU NDIO MSHAHARA WA RAIS MAGUFULI KWA MWEZI MMOJA

SHARE:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametaja hadharani kiwango cha mshahara anacholipwa ambacho ni Tsh 9 mili...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametaja hadharani kiwango cha mshahara anacholipwa ambacho ni Tsh 9 milioni kwa mwezi mmoja.
Rais Magufuli aliweka hilo hadharani jana wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya za Tawala za Mitaa (ALAT), hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Aliyasema hayo wakati akizungumzia kuhusu ubadhirifu na rushwa iliyokuwa ikifanywa na baadhi ya viongozi wa serikali ambapo alieleza kwamba, hawafurahishwi na namna anavyofanya mambo kwa sababu kipindi cha nyuma walizoea kwenda kufanyia vikao Dubai na kujilipa posho kubwa.
Mwaka jana baadhi ya wabunge walishinikiza Rais aweke wazi kiwango cha fedha anacholipwa na kutaka akatwe kodi kama wanavyokatwa watumishi wengine.
Katika hatua nyingine Rais alisema kuwa hajapandisha na hatopandisha mishahara ya watumishi kwani ana kazi kubwa ya kuwatumikia watanzania kwanza.
Rais alisema fedha nyingi sasa zinaelekezwa kwenye afya, elimu, mioundombinu, hivyo akipandisha mishahara ya watumishi atashindwa kufanya mambo hayo.
Kuhusu nyongeza ya posho za Madiwani kama ALAT walivyoomba, Rais alisema hatoongeza na kwamba, kama kuna diwani hataweza, ajiuzulu kwani wakati wanagombea hutakiwa kuwa na kazi inayowaingizia kipato, na sio wategemee fedha za serikali.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: HUU NDIO MSHAHARA WA RAIS MAGUFULI KWA MWEZI MMOJA
HUU NDIO MSHAHARA WA RAIS MAGUFULI KWA MWEZI MMOJA
https://2.bp.blogspot.com/-kQaa3b1526c/WdSUJ-cI87I/AAAAAAAAfbI/OrxaYRIj0k0P89gHdZIpzmJiyuMZHyKXACLcBGAs/s1600/x8-2-750x375.jpg.pagespeed.ic.jQwWuCAI7X.webp
https://2.bp.blogspot.com/-kQaa3b1526c/WdSUJ-cI87I/AAAAAAAAfbI/OrxaYRIj0k0P89gHdZIpzmJiyuMZHyKXACLcBGAs/s72-c/x8-2-750x375.jpg.pagespeed.ic.jQwWuCAI7X.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/huu-ndio-mshahara-wa-rais-magufuli-kwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/huu-ndio-mshahara-wa-rais-magufuli-kwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy