IEBC YATANGAZA KUWARUDISHA WAGOMBEA WOTE OKTOBA 26

SHARE:

Tume ya Uchaguzi ya Kenya imetangaza jana, Jumatano kuwa wagombea wote wanane walioshiriki uchaguzi wa urais uliofutwa na Mahakama ya Juu...

Tume ya Uchaguzi ya Kenya imetangaza jana, Jumatano kuwa wagombea wote wanane walioshiriki uchaguzi wa urais uliofutwa na Mahakama ya Juu watajumuishwa kwenye uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26.
Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini humu (IEBC), imefikia uamuzi huo kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Juu kuitaka imuongeze mgombea wa Chama cha Thirdway Alliance, Ekuru Aukot ambaye katika uchaguzi uliofutwa wa Agosti 8, alipata asilimia chini ya moja.

“Kwa hiyo ni wakati wa tume kuwajumuisha mgombea huyo, kwenye uchaguzi mpya  wa Oktoba 26,2017 ambao utawaingiza wagombea wote wanane (8) ambao walishiriki uchaguzi wa urais wa Agosti 8, 2017 ” ilisema taarifa ya IEBC.
Tume hiyo pia imesema imepokea barua ya kujitoa kwenye uchaguzi wa marudio ya mgombea wa Muungano wa kitaifa wa upinzani (NASA), Raila Odinga Jumanne, lakini ikihimiza kujazwa fomu ya kisheria kwa mujibu wa sheria za uchaguzi.
 “Tume haiwezi kumlazimisha mgombea kushiriki uchaguzi. Sheria inamruhusu kujitoa kwa kuwasilisha fomu  24A iliyojazwa. Fomu hii inatolewa kwa taratibu za uchaguzi mkuu,” iliongeza taarifa hizo.
IEBC imesema, itawaingiza wagombea wote katika ‘gazette’ jarida ambalo tayari lilikuwa na wagombea wawili, Uhuru Kenyatta na Raila Odinga.
Jana, Bunge la nchi hiyo, lilipitisha muswada wa marekebisho ya sheria za uchaguzi wa rais ujao ambayo inataka iwapo mgombea mmoja atajitoa aliyebaki atangazwe mshindi. Muswada huo wa sheria unasubiri saini ya rais Kenyatta. 

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: IEBC YATANGAZA KUWARUDISHA WAGOMBEA WOTE OKTOBA 26
IEBC YATANGAZA KUWARUDISHA WAGOMBEA WOTE OKTOBA 26
https://3.bp.blogspot.com/-zdzKToSQO1U/Wd9_z7l-u9I/AAAAAAAAgA8/tuLf1rdXzDM8aD0KyUrIJ-IRhkWJSAxgACLcBGAs/s1600/favicon.png
https://3.bp.blogspot.com/-zdzKToSQO1U/Wd9_z7l-u9I/AAAAAAAAgA8/tuLf1rdXzDM8aD0KyUrIJ-IRhkWJSAxgACLcBGAs/s72-c/favicon.png
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/iebc-yatangaza-kuwarudisha-wagombea.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/iebc-yatangaza-kuwarudisha-wagombea.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy