JUKATA WAMTEGA RAIS MAGUFULI KATIKA MAANDAMANO

SHARE:

Unachoweza kusema ni kuwa, Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) limemtega Rais Magufuli baada ya kutangaza kufanya maandamano nchi nzima ku...

Unachoweza kusema ni kuwa, Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) limemtega Rais Magufuli baada ya kutangaza kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza kufufuliwa kwa mchakato wa katiba mpya ulioligharimu taifa fedha nyingi lakini sasa umesimama.
Mchakato wa katiba nchini ulisimama kupisha uchaguzi mkuu mwaka 2015 na tangu kuingia kwa serikali ya awamu ya tano kumekuwa kimya huku wanaharakati wakinong’ona chini chini kuhusu hatma ya mchakato huo ambao unatajwa kuligharimu taifa pesa nyingi kipindi cha ukusanywaji wa maoni yake.
Akitangaza maandamano hayo jijini Dar es salaam jana wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mtendaji wa JUKATA, Hebron Mwakagenda amesema baada ya mkutano mkuu wa jukwaa hilo uliofanyika mkoani Dodoma mwisho mwa wiki iliyopita wameazimia kifanya maandamano nchi mzima yenye lengo la kudai katiba mpya.
 “Tumeazimia kufanya maandamano, katika ngazi ya  kitaifa yatafanyika jijini Dar es Salaam, yakianzia Ofisi za JUKATA hapa Mwenge tarehe 31 mwezi huu wa kumi saa nne asubuhi na yatahitimishwa katika viwanja vya mnazi mmoja” amesema Mwakagenda.
Mwakagenda amesema, jukwaa la hilo tayari limeshaliandikia barua Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kutoa taarifa juu ya kusudio la kufanya maandamano hayo.
“Maandamano haya  ni ya amani ili kurudisha hamasa ya wananchi kuendelea kushiriki kwenye michakato ya kidemokrasia  hapa nchini.”
“Kwa upekee na heshima kubwa sana JUKATA pia tumemwandikia barua Rais Magufuli kumwomba ayapokee maandamano yetu ya amani katika viwanja vya Mnazi Mmoja,” aliongeza Mwakagenda.
Hata hivyo, Mwakagenda amesema kuwa maandamano hayo katika mikoa mingine yatafanyika kila wilaya.
Pamoja na hayo JUKATA wamesema wanaamini watapata ushiriano wa kutosha wa Jeshi la Polisi ili maandamano hayo yafanyike kwa amani.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: JUKATA WAMTEGA RAIS MAGUFULI KATIKA MAANDAMANO
JUKATA WAMTEGA RAIS MAGUFULI KATIKA MAANDAMANO
https://1.bp.blogspot.com/-l6JOPrbuZB4/WdqOQqx7mBI/AAAAAAAAflg/tDlP2uCmllEJDiTp7Na8CHj_79GO6MbGACLcBGAs/s1600/xIMG_1745-640x375.jpg.pagespeed.ic.4c2PoCXhNZ.webp
https://1.bp.blogspot.com/-l6JOPrbuZB4/WdqOQqx7mBI/AAAAAAAAflg/tDlP2uCmllEJDiTp7Na8CHj_79GO6MbGACLcBGAs/s72-c/xIMG_1745-640x375.jpg.pagespeed.ic.4c2PoCXhNZ.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/jukata-wamtega-rais-magufuli-katika.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/jukata-wamtega-rais-magufuli-katika.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy