KAULI YA KIGWANGALA BAADA WA KUTEULIWA KUWA WAZIRI WA MALIASILI

SHARE:

Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia alikuwa Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kabla ya uteuzi mpya wa Wizar...

Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia alikuwa Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kabla ya uteuzi mpya wa Wizara ya Maliasili na Utalii hiyo jana Oktoba 7,2017, Dk. Hamisi Kigwangalla amewataka watanzania kuendelea kumuombea dua pamoja na ushirikiano katika majukumu yake mpya.
“Nimepokea salamu nyingi za pongezi na shukrani kwa Mungu aliye juu. Sintoweza kumjibu kila mtu, uungwana ni kutambua pongezi zenu na dua tele mlizotuombea, nawashukuru sana ndugu zangu. Tuzidi kuombeana dua tu.
Tuna kazi ngumu ya kukimbia kukidhi matarajio ya kiongozi wetu Mkuu aliyetuamini na matarajio ya wananchi wenzetu. Binafsi nawaahidi nyote kuwa sintowaangusha! Ahsanteni sana ndugu zangu, natarajia ushirikiano wenu wa kila hali.” Alieleza Dk. Hamisi Kigwangalla.
Awali taarifa za kuteuliwa kwake katika wizara nyingine, alizipata kupitia kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi kwa njia ya simu wakati akiwa kwenye majukumu ya ziara ya kuboresha mfumo wa afya, akiwa Wilayani Nachingwea, Kata ya Kilimalondo umbali wa zaidi ya kilometa 100, kutoka Makao makuu ya Wilaya hiyo ya Nachingwea, aliweza kusitisha ziara yake hiyo ambayo alitakiwa kuendelea katika Vijiji na Wilaya nyingine ya Liwale.Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia alikuwa Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kabla ya uteuzi mpya wa Wizara ya Utalii hiyo jana Oktoba 7,2017, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua chumba cha upasuaji mkubwa cha kituo cha AAfya Kilimalondo, Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi.
Dk.Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa Mganga wa kituo cha Afya Kilimalondo wakati wa ziara hiyo
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia alikuwa Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kabla ya uteuzi mpya wa Wizara ya Utalii hiyo jana Oktoba 7,2017, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua vifaa vipya vya chumba cha upasuaji mkubwa cha kituo cha AAfya Kilimalondo, Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi. Kituo hicho kilifungiwa kisifanye upasuaje mpaka kitakapokidhi vigezo, hata hivyo Dk.Kigwangalla alitoa miezi mitatu kiwe kimefanyiwa marekebisho na kianze kazi mara moja
Katibu Tawala wa Wilaya ya Lindi akimpatia taarifa Dk. Kigwangalla juu ya uteuzi wake mpya hivyo kusitisha shughuli zote zilizokuwa zimepangwa kuendelea katika wilaya hiyo.
Dk.Kigwangalla akiagana na viongozi wa Wilaya ya Nachingwea baada ya kusimamisha ziara yake kufuatia uteuzi mpya. Baada ya kupata taarifa hiyo kila kitu ilibidi kisimame hapo hapo. Namba za NW AMJW ilibidi ziondolewe na safari ya kutoka huko ianze.
Dk. Kigwangalla akiwa Mhe. Hassan Elias Masala (Mb.), Mbunge wa Jimbo la Nachingwea wakiagana mapema jana Oktoba 7,2017, majira ya saa nane za mchana baada ya kupata ujumbe wa kuteuliwa nafasi mpya. Hiyo ni baada ya kumaliza kazi kituoni hapo Kilimalondo na kuanza kuelekea Liwale, Kituo cha Afya Kibutuka, Ndipo alipopata taarifa kuna mabadiliko ya Baraza la mawaziri.
Awali kabla ya kupata taarifa za majukumu mapya, Dk. Kigwangalla alikuwa aendelee na ziara hiyo katikaWilaya ya Liwale, Kituo cha Afya Kibutuka.
Dk. Kigwangalla alikuwa katika ziara yake hiyo ya kikazi ya siku tano ndani ya Mkoa wa Lindi ambapo alitoa maagizo mbalimbali ya kuhakikisha viongozi wa Vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali wanatekeleza maagizo yote aliyotoa kwani ni maagizo halali ya kiserikali na watakaoshindwa watachukuliwa hatua. Miongoni mwa maagizo hayo ni pamoja na kila kituo cha Afya kuhakikisha kina chumba cha upasuaji kufuatia agizo/tamko la Mwandoya alilolitoa Novemba 2016, Mwandoya Meatu Mkoani Simiyu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KAULI YA KIGWANGALA BAADA WA KUTEULIWA KUWA WAZIRI WA MALIASILI
KAULI YA KIGWANGALA BAADA WA KUTEULIWA KUWA WAZIRI WA MALIASILI
https://3.bp.blogspot.com/-WwXhK2ir3IA/WdqMIwDKMlI/AAAAAAAAflE/Mfyw2kY6UtgtqfCxC8GbZaN0HmZBI51CQCLcBGAs/s1600/xDSC_0616-702x375.jpg.pagespeed.ic.Sg6RMFjFbO.webp
https://3.bp.blogspot.com/-WwXhK2ir3IA/WdqMIwDKMlI/AAAAAAAAflE/Mfyw2kY6UtgtqfCxC8GbZaN0HmZBI51CQCLcBGAs/s72-c/xDSC_0616-702x375.jpg.pagespeed.ic.Sg6RMFjFbO.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/kauli-ya-kigwangala-baada-wa-kuteuliwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/kauli-ya-kigwangala-baada-wa-kuteuliwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy