KENYATTA AIDHINISHA BILIONI 12 ZA UCHAGUZI WA OKTOBA 26

SHARE:

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameidhinisha muswada wa bajeti ndogo ambayo imetenga shilingi za Kenya bilioni 12 kwaajili ya shughuli za T...

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameidhinisha muswada wa bajeti ndogo ambayo imetenga shilingi za Kenya bilioni 12 kwaajili ya shughuli za Tume huru ya Uchaguzi ana mipaka (IEBC) leo, Ijumaa jijini Nairobi.
Fedha hizo zitasaidia kufanyia maandalizi ya uchaguzi mkuu wa marudio unaotarajiwa kufanyika Oktoba 26 baada ya Mahakama ya Juu kufuta matokeo ya awali ya uchaguzi wa Agosti 8, yaliyomtangaza Uhuru Kenyatta kuwa rais.
Mbali na kiasi hicho cha fedha, pia rais Kenyatta amesaini kiasi cha Shilingi za Kenya bilioni 25 kwaajili ya kufadhili mpango wa elimu ya sekondari bure aaliouahidi wakati wa kampeni kuwa ungeanza kutekelezwa rasmi Januari mwakani.
Pia kiongozi huyo amesaini matumizi ya fedha za kufadhili ununuzi wa mahindi kwaajili ya kuhakikisha wananchi wake wanapata nafuu ya bei ya unga kwa kusaini kiasi cha shilingi za Kenya, bilioni 6.7.
Mpango wa Inua Jamii, unaolenga kuwasaidia wazee wenye miaka 70 kujikimu nao umetengewa shilingi za Kenya bilioni 6.7  ambazo hutolewa kila mwezi.
Nayo Idara za Ulinzi na Usalama zimetengewa shilingi za Kenya bilioni 4 katika bajeti hiyo ndogo iliyoidhinishwa na rais Kenyatta.
Serikali pia imetenga bilioni 3.9 za Shilingi za Kenya kwa lengo la kukabiliana na athari za ukame.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KENYATTA AIDHINISHA BILIONI 12 ZA UCHAGUZI WA OKTOBA 26
KENYATTA AIDHINISHA BILIONI 12 ZA UCHAGUZI WA OKTOBA 26
https://2.bp.blogspot.com/-OvEFoz12b9Q/WeDY1NPC1iI/AAAAAAAAgOg/5tgQvU_9ypgJeyc-VWy3tmifrxZiz9llwCLcBGAs/s1600/KENYATTA-BAJETI_1507898540-1600x705.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-OvEFoz12b9Q/WeDY1NPC1iI/AAAAAAAAgOg/5tgQvU_9ypgJeyc-VWy3tmifrxZiz9llwCLcBGAs/s72-c/KENYATTA-BAJETI_1507898540-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/kenyata-aidhinisha-bilioni-12-za.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/kenyata-aidhinisha-bilioni-12-za.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy