MAFUTA YA GARI LA WAGONJWA YAWAPONZA WATENDAJI BAADA YA MGONJWA KUFARIKI

SHARE:

Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Bw Aron Mbogho awakamata na kuwaweka ndani watendaji watatu wa Kituo cha Afya cha Kisangara baada ya kuwachangis...

Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Bw Aron Mbogho awakamata na kuwaweka ndani watendaji watatu wa Kituo cha Afya cha Kisangara baada ya kuwachangisha wananchi fedha za mafuta ya gari la kubebea wagonjwa utaratibu ulikatazwa na serikali  hatua ambayo pia inadaiwa  kusababisha mgonjwa kufariki akiwa ndani ya gari hilo wakati linasubiri fedha za mafuta.
Akizungumza na ITV Bw.Mbogho amesema kitendo kilichofanywa na watendaji hao hakikubaliki na ni cha makusudi kwani hata kama kulikuwa na tatizo la mafuta ziko njia nyingine ambazo zingeweza kutumika kuwafikisha wagonjwa kwenye tiba na hawakutaka kuutumia.
Wakisimulia mkasa huo baadhi ya ndugu wa mgonjwa aliyepoteza maisha  wamesema siku ya tarehe 5/10/2017. Katika eneo la Kisangara vijana watatu waliokuwa kwenye pikipiki waligongwa na gari majira ya saa 12 jioni na walipofikishwa kwenye kituo cha afya waliandikiwa kwenda KCMC na ndipo wakatakiwa kutoa elfu 50 kwa ajili ya mafuta .
Wamesema pamoja na majeruhi hao kuingizwa kwenye gari la wagonjwa walianza kuzunguka mitaani kuchanga hadi saa tatu usiku wakipopazipata na wakiwa njiani kwenda KCMC mmoja alipoteza maisha kutokana na kuvuja damu nyingi.
Diwani wa kata ya Lembeni amesema utaratibu wa kuwataka wananchi kuchangia gharama za mafuta ya gari la wagonjwa ulipitishwa kwenye vikao vyao lakini kwa makubaliano kuwa ufanyike baada ya mgonjwa kufikishwa kwenye matibabu.
Chanzo: MtaaKwaMtaa

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MAFUTA YA GARI LA WAGONJWA YAWAPONZA WATENDAJI BAADA YA MGONJWA KUFARIKI
MAFUTA YA GARI LA WAGONJWA YAWAPONZA WATENDAJI BAADA YA MGONJWA KUFARIKI
https://1.bp.blogspot.com/-3Cnmcr3AGJs/Wdzxf0Fh8wI/AAAAAAAAfuE/qPQD3BZiFxkOG1tXuzsQ6LbHJC_pNKVzACLcBGAs/s1600/xDSC_02573-622x375.jpg.pagespeed.ic.y4kboCw2qy.webp
https://1.bp.blogspot.com/-3Cnmcr3AGJs/Wdzxf0Fh8wI/AAAAAAAAfuE/qPQD3BZiFxkOG1tXuzsQ6LbHJC_pNKVzACLcBGAs/s72-c/xDSC_02573-622x375.jpg.pagespeed.ic.y4kboCw2qy.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/mafuta-ya-gari-la-wagonjwa-yawaponza.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/mafuta-ya-gari-la-wagonjwa-yawaponza.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy