MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII

SHARE:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya K...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Mstaafu Gaudenci Milanzi akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanayoratibiwa na Bodi hiyo. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bibi. Devotha Mdachi akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akitembelea baadhi ya mabanda ya washiriki wa maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akimkabidhi mwakilishi wa Kampuni ya Ethiopia Airline tuzo ya kuthamini mchango wa kampuni hiyo katika kufanikisha maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Baadhi ya washiriki wa maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Taasisi zake mara baada ya kuzindua rasmi Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Nyerere (JNICC).
                                                                       Picha na: Frank Shija – MAELEZO

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII
https://1.bp.blogspot.com/-VK-bQzWQl3w/WeDD6jU777I/AAAAAAAAgMA/W6tRTbn2hF0K8FmhwZamwpSuuI10SFyDACLcBGAs/s1600/ACC%2B1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-VK-bQzWQl3w/WeDD6jU777I/AAAAAAAAgMA/W6tRTbn2hF0K8FmhwZamwpSuuI10SFyDACLcBGAs/s72-c/ACC%2B1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/makamu-wa-rais-afungua-kongamano-la.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/makamu-wa-rais-afungua-kongamano-la.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy