MAKONDA AMEONDOA UHALALI WA RAIS KUSIMAMIA MATENDO YAKE- CHADEMA

SHARE:

Chama cha Demokrsia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kwamba, Rais Magufuli amepoteza uhalali wa kusimamia kile alichokifanya kipindi cha n...

Chama cha Demokrsia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kwamba, Rais Magufuli amepoteza uhalali wa kusimamia kile alichokifanya kipindi cha nyuma baada ya kumtetea kiongozi anayedaiwa kuwa ameghushi vyeti.
Tamko la CHADEMA limekuja ikiwa ni saa chache tangu Rais aliposema kuwa, baadhi ya watu wanasema kuwa Makonda hajasoma, lakini kwake hata kama hajasoma na hajui A lakini anakamata dawa za kulevya, huyo ni msomi mzuri.
“Je! Rais anajua kuwa kauli yake ya leo (jana) kuonesha kuwa ‘vyeti’ si suala muhimu, ameondoa uhalali wowote ule uwe wa kisheria au wa kisiasa wa agizo lake la kuwafukuza watumishi wale waliodaiwa kutokuwa na vyeti?” walihoji CHADEMA katika taarifa yao walioitoa jana.
CHADEMA wamesema kuwa, miezi kadhaa iliyopita kinyume na sheria na taratibu, Rais aliagiza kuondolewa kwenye utumishi wa umma watumishi zaidi ya 9,000 baada ya kudaiwa walikuwa na vyeti vya kughushi, lakini leo anasimimama na kuonyesha kuwa, suala la vyeti si la msingi kama mtu anaweza kufanya kazi.
Aidha, wamehoji kama kweli Rais Magufuli alimaanisha aliposema kwamba serikali yake haitalea vilaza (watu wasio na sifa stahiki) alipokuwa akizungumzia sakata la wanafunzi waliodahiliwa kusoma programu maalum ya ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
“Je! Rais Magufuli anajua kuwa kauli yake ya leo (jana) inaonesha kuwa hakuwa na nia ya dhati kupinga ‘vilaza’ kwenye serikali yake? Na kwamba hakuwa mkweli kwa sababu wapo vilaza anaowatetea?
Baada ya madai ya utata wa majina anayotumia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaama na elimu yake kutopatiwa majibu wala ufafanuzi, Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, alifungua shauri mbele ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, ili mamlaka hiyo ishughulikie suala hilo kwa kadri ya sheria za nchi na kumaliza utata uliopo.
CHADEMA wameeleza kuwa kauli ya Rais Magufuli inaingilia shuari hilo ambalo bado halijapatiwa ufumbuzi na kwamba inaiweka Sekretairieti ya Maadili katika wakati mgumu.
Katika taarifa yao, CHADEMA wameonyesha kushangazwa na kauli ya Rais Magufuli kuwa hajapandisha na wala hatopandisha mishahara ya wafanyakazi kwani bado anayokazi kubwa ya kuwaletea wananchi maendeleo, lakini kwenye sherehe za Mei Mosi, Rais aliahidi kuwa katika bajeti ya 2017/18, kungekuwa na nyongeza ya mishahara ya watumishi.
Hata hivyo, CHADEMA wamemkumbusha Rais kwamba, amekuwa akisema yeye ni mtetezi wa wanyonge, ni vyema akajua kuwa miongoni mwa wanyonge ni pamoja na wafanyakazi hao wanaoomba kuongezewa kima cha chini cha mshahara.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MAKONDA AMEONDOA UHALALI WA RAIS KUSIMAMIA MATENDO YAKE- CHADEMA
MAKONDA AMEONDOA UHALALI WA RAIS KUSIMAMIA MATENDO YAKE- CHADEMA
https://2.bp.blogspot.com/-sev_CWPP0Ko/WdSTSdx7plI/AAAAAAAAfa8/puN1TYT9X30hzRkWgOzcJsuZSPjNrDLFACLcBGAs/s1600/JPM_Rais.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-sev_CWPP0Ko/WdSTSdx7plI/AAAAAAAAfa8/puN1TYT9X30hzRkWgOzcJsuZSPjNrDLFACLcBGAs/s72-c/JPM_Rais.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/makonda-ameondoa-uhalali-wa-rais.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/makonda-ameondoa-uhalali-wa-rais.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy