MAVUNDE ATIA FORA MKUTANO MKUU WA CCM WILAYA

SHARE:

Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde ameeleza mikakati iliyopo katika kukifanya Chama cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Dodoma kiweze kujite...

Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde ameeleza mikakati iliyopo katika kukifanya Chama cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Dodoma kiweze kujitegemea kuwa ni mpango wa ujenzi wa jengo la ghorofa nane ambalo litakuwa jibu katika kuinua uchumi.
Akizungumza katika mkutano mkuu wa uchaguzi leo uliofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Hall wilayani Dodoma, Mavunde amesema pamoja na mpango huo ni vyema wana CCM wakawa na umoja.
Aidha amewataka kuendeleza mbegu inayoachwa na viongozi wanaomaliza muda wao kwa kufanya kazi kwa umoja,upendo na mshikamano ili hatimaye matunda mazuri ya mbegu iliyopandwa yaweze kuonekana.
“Ndugu zangu tukimaliza uchaguzi mmoja ni mwanzo wa uchaguzi mwingine na ukitaka kushinda lazima uwe na  mpango wa kisiasa kwak ufanya mikutano ngazi ya kata na katika hili mimi kama mbunge kuanzia mwakani nitagawa vipasa sauti vitatu na spika za kusimama kwa kila kata ili kuwezesha kufanyika mikutano hiyo na baadae nitaangalia suala la usafiri,”amesema Mavunde.
Amewaomba wajumbe wa mkutano huo kuendelea kumshukuru na kumpongeza Rais Dk.John Magufuli kwa uamuzi wake wa kuivunja mamlaka ya ustawishaji makao makuu(CDA) ambayo ilikuwa ni kilio cha wakazi wa Dodoma na kuifanya Dodoma kuwa makao makuu ya nchi.
Akifungua mkutano huo, Mwenyekiti wa CCM aliyemaliza muda wake wilaya ya Dodoma mjini Paulo Luhamo amewataka wajumbe kuzingatia maagizo ya chama kwa kutochagua mtu kwa ajili ya ukabila,dini wala rangi.
 “WanaCCM wenzangu chagueni kiongozi atakayetoka ndani ya CCM na sio nje ya CCM,atakayefanyia kazi maamuzi ya CCM,na mimi pamoja na kwamba nitakuwa nje ya uongozi nitashirikiana na uongozi mpya usiku na mchana,mvua na jua ili kulinda heshima ya Dodoma kuwa makao makuu ya Chama na Serikali,”amesisitiza Luhamo.
Amewataka wana CCM kuachana na utaratibu waliokuwa nao wa kubadilisha mbunge kila baada ya miaka mitano na badala yake wamempa heshima Rais kwa kuendelea kumchagua Mavunde kama mbunge wao,kumlinda na kumuombea.
“Mbunge wetu anafanya kazi kubwa kwa ajili ya CCM,sisi tumekuwa na utaratibu wa kuleta mbunge kila baada ya miaka mitano tuache utaratibu huu,rais ametupa heshima ya kumchagua Mbunge wetu katika baraza la mawaziri heshima ambayo mara ya mwisho ilikuwa mwaka 1975,hivyo kama rais ametupa heshima hiyo nasi tuilinde,”amesema Luhamo.
Wagombea wanaogombea nafasi ya Mwenyekiti ni pamoja na Adam Msendo, Stephen Mwanga na Robert Mwinje.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MAVUNDE ATIA FORA MKUTANO MKUU WA CCM WILAYA
MAVUNDE ATIA FORA MKUTANO MKUU WA CCM WILAYA
https://4.bp.blogspot.com/-6Eb6aCTJh8w/WddA5-hawPI/AAAAAAAAfi8/DBIDb94pznEVGkajMyy5hjf78Th6khJygCLcBGAs/s1600/mavunde-1-2-702x375.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-6Eb6aCTJh8w/WddA5-hawPI/AAAAAAAAfi8/DBIDb94pznEVGkajMyy5hjf78Th6khJygCLcBGAs/s72-c/mavunde-1-2-702x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/mavunde-atia-fora-mkutano-mkuu-wa-ccm.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/mavunde-atia-fora-mkutano-mkuu-wa-ccm.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy