MBAO FC WANG'ANG'ANIWA TENA NYUMBANI WASHINDWA KUFUA DAFU DHIDI YA MBEYA CITY

SHARE:

Wimbi la matokeo ya sare kwa timu ya Mbao FC limeendelea kutanda baada ya leo, Ijumaa tena kulazimishwa sare ya 2-2 dhidi ya wagonga nyun...

Wimbi la matokeo ya sare kwa timu ya Mbao FC limeendelea kutanda baada ya leo, Ijumaa tena kulazimishwa sare ya 2-2 dhidi ya wagonga nyundo wa Mbeya City FC.
Mchezo huo wa raundi ya sita wa ligi kuu Tanzania Bara umepigwa katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza, na kushuhudia Mbao wakianza kwa kasi na kupata bao la kwanza dakika ya tatu (3) ya mchezo kupitia mpira wa adhabu uliopigwa na Yusuph Ndikumana.
Mbeya City ambao walionekana kutulia na kucheza kwa kuelewana zaidi, walipata penati dakika ya tano baada ya beki wa Mbao FC Yusuph Ndikumana kufanya madhambi katika eneo la hatari, penati ambayo hata hivyo iliokolewa na kipa wa Mbao FC,  Yvan Kigumandiye.
Mbeya City ambao waliendelea kujiamini walijikuta wakipigwa bao la pili dakika ya 41 kupitia kwa Ndaki Robert na hadi kipindi cha kwanza kinamalizika, Mbao walitoka kifua mbele wakiongoza kwa mabao mawili.
Katika kipindi cha pili Mbao wakionekana kucheza kwa kujilinda zaidi, walijikuta wakiwaruhusu Mbeya City kuchomoa mabao yote mawili kupitia kwa Elyud Ambokile dakika ya 55 na Omary Ramadhan dakika ya 63, na mchezo kumalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Hii ni sare ya tatu (3) kwa Mbao FC tangu imerejea katika dimba lake la nyumbani ambapo ilianza kwa sare ya 2-2 na Simba, kisha ikalazimishwa sare ya bao 1-1 na Tanzania Prisons na leo imebanwa na Mbeya City, wakati mchezo ulioko mbele yake utakuwa ni dhidi ya Azam FC katika uwanja huo huo wa CCM Kirumba.
Kwa matokeo ya leo, Mbao imefikisha pointi 6 ikibaki katika nafasi yake ya 9 wakati Mbeya City ikifikisha pointi 8 katika nafasi ya yake ya  saba (7).

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MBAO FC WANG'ANG'ANIWA TENA NYUMBANI WASHINDWA KUFUA DAFU DHIDI YA MBEYA CITY
MBAO FC WANG'ANG'ANIWA TENA NYUMBANI WASHINDWA KUFUA DAFU DHIDI YA MBEYA CITY
https://2.bp.blogspot.com/-BazPWCDtQac/WeD9SQjhOkI/AAAAAAAAgQE/WmXI3Jzl-cgl5pEQFAZjyAmP9_BOZW4pACLcBGAs/s1600/Mbao-FC-vs-Mbeya-City_1507912284-1600x705.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-BazPWCDtQac/WeD9SQjhOkI/AAAAAAAAgQE/WmXI3Jzl-cgl5pEQFAZjyAmP9_BOZW4pACLcBGAs/s72-c/Mbao-FC-vs-Mbeya-City_1507912284-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/mbao-fc-wanganganiwa-tena-nyumbani.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/mbao-fc-wanganganiwa-tena-nyumbani.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy