MELI YA MFALME WA OMAN, YAWASILI ZANZIBAR NA UJUMBE WA WATU 300

SHARE:

UJUMBE wa watu zaidi ya 300 unaomwakilisha Mfalme wa Oman, Shekh Sultan Qabous Bin Said umewasili visiwani Zanzibar leo Alhamisi asubuhi...

UJUMBE wa watu zaidi ya 300 unaomwakilisha Mfalme wa Oman, Shekh Sultan Qabous Bin Said umewasili visiwani Zanzibar leo Alhamisi asubuhi kwa kutumia meli yenye jina la Fulk Al Salamah ambayo hutumiwa na mfalme huyo.
 
Ujumbe huo wa Serikali ya Oman umewasili katika Bandari Kuu ya Malindi mjini hapa majira ya saa tatu na nusu za asubuhi ikitokea nchini Oman.
 
Katika mapokezi ya ujumbe huo viongozi wa Serikali ya Zanzibar walihudhuria akiwamo Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo, Rashid Ali Juma, Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed, Waziri wa Maji, Nishati, Ardhi na Mazingira, Salama Aboud Talib na Wazir wa Biashara na Masoko, Amina Salum Ali.
Mfalme wa Oman, Shekh Sultan Qabous Bin Said akiwasili Zanzibar, Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.
 
Kwa upande wa ujumbe huo wa mfalme uliongozwa na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman, Mohamed Al-ramh ambapo lengo kuu la kufika Zanzibar ni kusambaza amani na upendo ikiwa ni hatua ya kufikisha ulimwenguni kote.
 
Akizungumza katika mapokezi hayo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed amesema ni faraja kubwa kwa Zanzibar kupata ugeni huo wa heshima.
Amesema ugeni huo ni ishara njema ya kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano baina ya nchi hizo mbili ambazo zinaonekana kuwa na udugu wa kihistoria kwa miaka mingi.
Balozi Seif Ali Iddi akiteta jambpo na Rais Qabous Bin Said.
‘’Ishara hii ni njema na tunaifurahia kwa moyo wote na kesho tutakuwa na mazungumzo rasmi na ugeni huo ambapo tunataraji mambo mbalimbali tutayajadili na baadaye kutoa taarifa rasmi ya mazungumzo yetu,” amesema  Aboud.
Hata hivyo amesema ujumbe huo pia utapa nafasi ya kutembelea maeneo mbalimbali ya kihistoria, ofisi za Serikali lengo ni kubadilishana mawazo juu ya ukuaji wa uchumi.
Waziri Aboud amewataka wananchi wa Zanzibar kuwapokea wageni hao katika maeneo tofauti ili kuonyesha ukarimu wao.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MELI YA MFALME WA OMAN, YAWASILI ZANZIBAR NA UJUMBE WA WATU 300
MELI YA MFALME WA OMAN, YAWASILI ZANZIBAR NA UJUMBE WA WATU 300
https://1.bp.blogspot.com/-MtdFqkyYSY8/Wd_QkL1vhUI/AAAAAAAAgDg/kEMOO3MV5g86Ro2elzglmGIstc56OCs8QCLcBGAs/s1600/meli-1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-MtdFqkyYSY8/Wd_QkL1vhUI/AAAAAAAAgDg/kEMOO3MV5g86Ro2elzglmGIstc56OCs8QCLcBGAs/s72-c/meli-1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/meli-ya-mfalme-wa-oman-yawasili.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/meli-ya-mfalme-wa-oman-yawasili.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy