MPENZI WA ALIYEFANYA SHAMBULIZI LAS VEGAS AJISALIMISHA MAREKANI

SHARE:

Marilou Danley, mpenzi wa muuaji wa Las Vegas aliyekuwepo nchini Ufilipino Mwanamke Marilou Danley, ambaye ni mpenzi wa mtu aliyefyat...

Marilou Danley, mpenzi wa muuaji wa Las Vegas aliyekuwepo nchini Ufilipino
Mwanamke Marilou Danley, ambaye ni mpenzi wa mtu aliyefyatua risasi kwenye tamasha huko Las Vegas Marekani, amewasili jijini Los Angeles kwa ndege kutoka Manila Ufilipino usiku wa kuamkia leo na kukutana na mawakala wa Shirika la Upelelezi la Marerkani (FBI).
Msemaji wa Idara ya Uhamiaji ya Ufilipino, Antonette Mangrobang amesema Danley aliingia Ufilipino Septemba 25 kwa ndege kutoka Hong Kong.
Aliingia Ufilipino ikiwa ni takribani juma moja kabla ya mpenzi wake , Stephen Paddock, kuua watu hamsini na tisa kwa risasi katika tamasha la muziki lililohudhuria na vijana wengi.
Mkuu wa polisi wa Wilaya ya Clark amesema Danley anachukuliwa kama mtu mwenye maslahi katika uchunguzi wa tukio la Jumapili iliyopita.
Ndege ya Shirika la Ndege la Ufilipino imeonekana kwenye uwanja wa ndege kimataifa wa Los Angeles usiku wa kumkia leo baada ya kuruka moja kwa moja kutoka Manila.
Taarifa zinadai kuwa kabla Paddock hajatekeleza mauaji hayo, alimtumia mpenzi wake huyo dola laki moja mwanamama huyo aliyekuwa Ufilipino.
Paddock aliua watu 58 katika tamasha la muziki na kujeruhiwa zaidi ya 500 jijini Las Vegas.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MPENZI WA ALIYEFANYA SHAMBULIZI LAS VEGAS AJISALIMISHA MAREKANI
MPENZI WA ALIYEFANYA SHAMBULIZI LAS VEGAS AJISALIMISHA MAREKANI
https://1.bp.blogspot.com/-aoLBQOv6HC0/WdTzGkzkVqI/AAAAAAAAfeI/f5ptYisjPL8oTMEL45H0o0N3hi6b8pPKwCLcBGAs/s1600/demi-wa-muuaji_1507117882-1600x705.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-aoLBQOv6HC0/WdTzGkzkVqI/AAAAAAAAfeI/f5ptYisjPL8oTMEL45H0o0N3hi6b8pPKwCLcBGAs/s72-c/demi-wa-muuaji_1507117882-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/mpenzi-wa-aliyefanya-shambulizi-las.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/mpenzi-wa-aliyefanya-shambulizi-las.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy