MVUA YAJERUHI WATATU, KAYA 103 ZAKOSA MAKAZI MKOANI KATAVI

SHARE:

Watu watatu wamejeruhiwa na Kaya 103 hazina mahali pa kuishi katika Kata ya  Kazima, Kawajense na Semlwa kwenye Halmashauri ya Manispaa y...

Watu watatu wamejeruhiwa na Kaya 103 hazina mahali pa kuishi katika Kata ya  Kazima, Kawajense na Semlwa kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi kufuatia mvua kubwa iliyonyesha  ikiwa imeambatana na upepo mkali.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa huo, Meja Jenerali mstaafu Raphael Muhuga alifika katika maeneo yaliyoathirika na mvua hizo na kutembelea waathirika sambamba na kujionea hali halisi akiwa na kamati yake.
Akiwa katika maeneo yaliyoathirika mkuu wa mkoa huyo, alijionea baadhi ya nyumba zilizoezuliwa mapaa na kubomoka kutokana na ujenzi usiokuwa imara na kuwataka wakazi wa Mkoa wa Katavi kuwa na tabia ya kupanda miti ili kuzuia upepo mkali unaoathiri nyumba pamoja na kuwapa pole wote waliofikwa na maafa hayo.
Wakizungumzia maafa hayo ya mvua, manusura hao wamesema, mvua na upepo huo vilianza ghafla na kwamba hata waliokuwemo ndani walijikuta wanakumbana na mwanga mkubwa ndani kutokana na mapaa yao kung’oka ghafla na kwa haraka mno.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MVUA YAJERUHI WATATU, KAYA 103 ZAKOSA MAKAZI MKOANI KATAVI
MVUA YAJERUHI WATATU, KAYA 103 ZAKOSA MAKAZI MKOANI KATAVI
https://3.bp.blogspot.com/-JGp9GYP50FU/WeDZSKcVofI/AAAAAAAAgOk/zbxM9FIq8TUaC4HRZ3HSY2y_ESg0hhouQCLcBGAs/s1600/katavi4_1507895359-1600x705.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-JGp9GYP50FU/WeDZSKcVofI/AAAAAAAAgOk/zbxM9FIq8TUaC4HRZ3HSY2y_ESg0hhouQCLcBGAs/s72-c/katavi4_1507895359-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/mvua-yajeruhi-watatu-kaya-103-zakosa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/mvua-yajeruhi-watatu-kaya-103-zakosa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy