MWANA FA ASHINDWA KUJIZUIA KWA LADY JAYDEE

SHARE:

Lady Jaydee. RAPA Mkongwe anayetamba na ngoma ya Dume Suruali,  Mwana FA   ameshindwa kuvumilia na kuvunja ukimya kwa kuonyesha sapot...

Lady Jaydee.
RAPA Mkongwe anayetamba na ngoma ya Dume Suruali, Mwana FA  ameshindwa kuvumilia na kuvunja ukimya kwa kuonyesha sapoti kwenye video ya ngoma mpya  ya Mkongwe Lady Jaydee ‘I miss you’ ikiwa ni miaka takribani minne tangu fukuto la bifu lao.
Kupitia kwenye ukurasa wa Instagram Mwana FA ameweka video ya wimbo huo ambayo imeachiwa leo huku akiwataka watu kwenda kuitazama video hiyo kwenye mtandao wa You tube.
Mwana FA ameandika kwa lugha ya Kingereza akimaanisha  “Video ya wimbo mpya wa Lady Jaydee  ” I Miss You”  hatimaye umetoka  furahia  karibu”...na Lady Jaydee akashukuru kwa ufupi kwa kuandika kwa lugha ya kingereza akimaanisha  “Baraka nyingi”
Hata hivyo jambo hilo limeonekana kuwafurahisha mashabiki wengi wakiwepo wasanii wenzao ambao pia ni watu wao wa karibu kwa kuandika jumbe mbalimbali.
Mwanamuziki Ambwe Yessaya  ameandika   “Manka weee  Lady Jaydee umetisha sana, nangojea siku yetu ya nyama ndio nikupe vocha…Mwana FA
Mbunge wa Mikumi na Mkongwe wa Rap nchini Professor Jay naye ameandika “Thats True LOVE MISS U TOO Guy” @mwanafa @jidejaydee @aytanzania
Mbali na hao mashabiki wengi nao wamefurahishwa kwa kitendo hicho kupitia ujumbe huo na kuwataka wawili hao waweze kufanya tena kazi kwa pomoja.
Wawili hao inadaiwa kuwa vuguvugu la bifu lao lilianza mnamo 2013 na Mwanamuziki Lady Jaydee amekuwa akinukuliwa kwamba hakupendezwa na jinsi rafiki yake huyo (Mwana FA) alivyotumiwa na maadui zake kutaka kumuharibia tamasha lake.
Lady Jaydee kwa sasa ana Video Mpya inayokwenda kwa jina la ‘I miss you’ itazame hapa chini.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MWANA FA ASHINDWA KUJIZUIA KWA LADY JAYDEE
MWANA FA ASHINDWA KUJIZUIA KWA LADY JAYDEE
https://2.bp.blogspot.com/-G5-NumTL6PQ/WdS1Tg_Ah1I/AAAAAAAAfcQ/GpH-Q3vkjl4Zp9bOWrOYSSg5PXj400pOACLcBGAs/s1600/JIDE.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-G5-NumTL6PQ/WdS1Tg_Ah1I/AAAAAAAAfcQ/GpH-Q3vkjl4Zp9bOWrOYSSg5PXj400pOACLcBGAs/s72-c/JIDE.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/mwana-fa-ashindwa-kujizuia-kwa-lady.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/mwana-fa-ashindwa-kujizuia-kwa-lady.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy