MWILI WA ALIYEKUWA KATIBU WA CHADEMA SHINYANGA GEORGE KITALAMA WAAGWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA SINGIDA

SHARE:

Mwili wa Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Wilaya Shinyanga Mjini kuanzia mwaka 2014 hadi mwanzoni mwa mwaka 2017,na Diwani Kata ya Kitang...Mwili wa Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Wilaya Shinyanga Mjini kuanzia mwaka 2014 hadi mwanzoni mwa mwaka 2017,na Diwani Kata ya Kitangiri katika manispaa ya Shinyanga kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010 -2015,George Kitalama umeagwa leo mjini Shinyanga kisha kusafirishwa kwenda kijiji cha Isanzu,kata ya Isanzu wilaya ya Mkarama mkoani Singida kwa ajili ya mazishi.

Kitalama alianguka na kupoteza maisha siku ya Jumapili Oktoba 8,2017 wakati akitekeleza majukumu yake ya kikanisa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, Usharika Wa Ebeneezer Kanisa Kuu Shinyanga Mjini.


George Kitalama alizaliwa tarehe 19.07.1966 amefariki tarehe 08.10.2017
Mwili wa marehemu Kitalama ukiombewa katika kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, Usharika Wa Ebeneezer Kanisa Kuu Shinyanga Mjini.Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Mwili wa marehemu Kitalama ukiombewa
Waumini na watu wenye mapenzi mema wakiwa kanisani
Mwili wa marehemu Kitalama ukiwekwa kwenye gari kwa ajili ya kusafirishwa kwenda mkoani Singida kwa ajili ya mazishi
Gai lililopakiwa mwili wa marehemu likiwa nje ya kanisa

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MWILI WA ALIYEKUWA KATIBU WA CHADEMA SHINYANGA GEORGE KITALAMA WAAGWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA SINGIDA
MWILI WA ALIYEKUWA KATIBU WA CHADEMA SHINYANGA GEORGE KITALAMA WAAGWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA SINGIDA
https://4.bp.blogspot.com/-C6TGuM2I6lQ/Wd30QgyH_oI/AAAAAAAAf0M/3N88c10CvgY5l4jmW_l0Hmo0awnl78eEgCLcBGAs/s1600/UF3A6668.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-C6TGuM2I6lQ/Wd30QgyH_oI/AAAAAAAAf0M/3N88c10CvgY5l4jmW_l0Hmo0awnl78eEgCLcBGAs/s72-c/UF3A6668.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/mwili-wa-aliyekuwa-katibu-wa-chadema.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/mwili-wa-aliyekuwa-katibu-wa-chadema.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy