NAIBU WAZIRI, DK NDUNGULILE ATOA MAAGIZO KWA IDARA KUU YA MAENDELEO YA JAMII

SHARE:

Na WAMJWW Naibu Waziri wa Afya Maendelo ya Jamii jinsia Wanawake na Watoto Dokta Faustine  Ndugulile ameitaka Idara Kuu ya Maendeleo ya...

Na WAMJWW
Naibu Waziri wa Afya Maendelo ya Jamii jinsia Wanawake na Watoto Dokta Faustine  Ndugulile ameitaka Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii  kuratibu shughuli znazofanywa na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali  ili yafanye kazi kulingana na uanzishwaji wa mashirika hayo.
Dokta Ndugulile aliyasema hayo jijini Dar es Salaam  wakati akizungumza na watumishi wa Wizara ya Afya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii  alipokwenda kujitambulisha kufuatia kuteuliwa  hivi karibunoi  katika mabadiliko yaliyofanyika  ya baraza la mawaziri.
Alisema , pamoja na idara hiyo kuwa na kanzi data kwa ajili ya mashirika yasiyo ya kiserikali nchini lakini kuna haja ya kufuatilia utendaji  kazi wa mashirika yasiyo ya kiserikali kwani  baadhi ya mashirika hayo yamekuwa yakienda kinyume na kazi iliyokusudiwa.
‘”kuna mashirika yasiyo ya kiserikali ya Kimataiafa na yale ya kitaifa ni vizuri yale ya kimataifa yawe na sura ya kimataifa nay ale yenye sura za kitaifa yabaki na sura hiyo  kwani wakati mwingine hasa kipindi cha uchaguzi  baadhi ya mashirika hayo hujishughulisha na shughuli za kisiasa na kuacha malengo ya kuanzishwa kwake’’.
Aidha, dokta Ndugulile ameenda mbali zaidi kwa kusema baadhi ya mashirika yasiyo ya kiserikali  yamekuwa yakijishughulisha pia na masuala  yanayoenda kinyume na maadili ya Tanzania hivyo amaitaka idara hiyo ihakikishe kila shirika lisilo la kiserikali linatumia fedha  inazopatiwa kwa malengo yaliyokusudiwa.
Akizungumzia suala la huduma za jamii kwa wazee, Dk Ndugulile alisema, pamoja na jitihada zinazofanyika katika kuwahudumia wazee bado eneo hilo lina changamoto kubwa hususan  katika misamaha ya kuhudumia wazee  katika huduma za afya pamoja na nyumba za kuwatunza wazee.
Alisema katika vituo vya kuhifadhia wazee kumekuwa na changaomoto nyingi na wakati mwingine kulazimu vituo hivyo kusaidiwa na watu  wengine tofauti na idara husika katika huduma mbalimbali kama vile huduma za umeme.
Aidha, ameshauri kupitiwa upya kwa Sera, Sheria na Miongozo ya Idara kuu ya maendeleo ya jamii kwa kuwa sera Sheria na miongozi iliyopo haendanane na wakati uliopo sasa.
Amewataka watumishi wa Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kuwa wabunifu kwa rasilimali chache zilizopo na kufanya tafiti wakati wa kufanya kazi zao na kusisitiza kuwa asingependa watumishi watofautiane naye katika ufuatiliaje wa shughuli za Wizara.
Hivi karibuni Wizara ya Afya kupitia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii iliendesha zoezi la la kuhakiki mashirika yasiyo ya kiserikali kwa lengo la kuhuisha orodha ya mashirika hayo na kuboresha kanzi data ili kupima utekelezaji wa majukumu ya mashirika hayo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NAIBU WAZIRI, DK NDUNGULILE ATOA MAAGIZO KWA IDARA KUU YA MAENDELEO YA JAMII
NAIBU WAZIRI, DK NDUNGULILE ATOA MAAGIZO KWA IDARA KUU YA MAENDELEO YA JAMII
https://2.bp.blogspot.com/-Hj-2Ciqxo_M/WdzwOV1V1iI/AAAAAAAAft0/8bNIWVmL120oX1lBqi8e1OQTx0_XMWFDACLcBGAs/s1600/xakiongea-750x375.jpg.pagespeed.ic.telMaCSYE8.webp
https://2.bp.blogspot.com/-Hj-2Ciqxo_M/WdzwOV1V1iI/AAAAAAAAft0/8bNIWVmL120oX1lBqi8e1OQTx0_XMWFDACLcBGAs/s72-c/xakiongea-750x375.jpg.pagespeed.ic.telMaCSYE8.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/naibu-waziri-dk-ndungulile-atoa-maagizo.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/naibu-waziri-dk-ndungulile-atoa-maagizo.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy