NASSARI: HAKUNA DHAMIRA YA DHATI YA KUCHUNGUZA SHAMBULIO LA LISSU

SHARE:

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joshua Nassari ameeleza kuwa vyombo vinav...

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joshua Nassari ameeleza kuwa vyombo vinavyohusika na uchunguzi wa tukio la kushambuliwa kwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu havina dhamira ya dhati ya kuufanya uchunguzi huo.
Nassari ameongea hayo kufuatia na kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kusema kuwa, Tundu Lissu atakuwa msaada mkubwa katika upelelezi wa tukio hilo pale atakaporudi nchini.
“Mtu ameshambuliwa yuko kitandani, hatujui atapona siku gani, hatujui atarudi lini nchini, hatujui atarudi katika hali gani, eti wanamsubiria aje kufanya upelelezi. Akirudi baaada ya miaka miwili?”
“Na huo Upelelezi utakaokuja kufanyika baada ya miaka miwili ni upelelezi wa aina gani!…. Kwa hiyo mimi nafikiri dhamira ya dhati haipo,” alieleza Joshua Nassari.
Alieleza kuwa amesikitishwa na kitendo cha waziri anayesimamia wizara nyeti nchini kusema kuwa, wanamsubiri Tundu Lissu apone ndipo uchunguzi uendelee.
“Waziri huyo huyo amezungumza kwamba wanamsubiri Tundu Lissu apone ili aweze kuwasaidia kufanya upelelezi. Tundu Lissu angekufa maana yake upelelezi usingekaa ufanyike?” alihoji Nassari.
“Nilipomsikia Mwigulu akiongea nikiwa Nairobi, nilisikitika kidogo kwa sababu ni kijana msomi na mtu wa umri mdogo ambae anajua teknolojia zilizopo duniani kwa sasa hivi. Kwa hivyo ni aibu kusema kwamba watafanya upelelezi kwa vyombo vya ndani na wanamsubiri Tundu Lissu apone ndipo aje awasaidie kufanya upelelezi.”  aliongeza.
“Angekufa maana yake upelelezi usingefanyika. Kwa maana hiyo watanzania hatuko salama…”

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NASSARI: HAKUNA DHAMIRA YA DHATI YA KUCHUNGUZA SHAMBULIO LA LISSU
NASSARI: HAKUNA DHAMIRA YA DHATI YA KUCHUNGUZA SHAMBULIO LA LISSU
https://1.bp.blogspot.com/-1HijyG0XtZM/WdSXsaXaDXI/AAAAAAAAfbY/XYBtkP80CBMjpHvVdQbv1RdWtMj8cHtWQCLcBGAs/s1600/MBUNGE-wa-Arumeru-Mashariki-Joshua-Nassari.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-1HijyG0XtZM/WdSXsaXaDXI/AAAAAAAAfbY/XYBtkP80CBMjpHvVdQbv1RdWtMj8cHtWQCLcBGAs/s72-c/MBUNGE-wa-Arumeru-Mashariki-Joshua-Nassari.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/nassari-hakuna-dhamira-ya-dhati-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/nassari-hakuna-dhamira-ya-dhati-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy