Ney Wa Mitego ajifananisha na Juma Nature

SHARE:

Msanii Ney Wa Mitego, amefunguka na kusema kuwa yeye ni msanii ambaye anafanana na mkongwe Juma Nature kwa kupata mapokeo makubwa pamoja na ...Msanii Ney Wa Mitego, amefunguka na kusema kuwa yeye ni msanii ambaye anafanana na mkongwe Juma Nature kwa kupata mapokeo makubwa pamoja na kushangiliwa zaidi wakati akiwa jukwaani.

Ney amezunguza kwa kueleza kuwa yeye anapokuwa hajapanda jukwaani kwa ajiri ya ‘Show’ kitu kikubwa ambacho huwa anafanya kusali kwanza na baada ya kumaliza huwa anasali kitu ambacho anaamini kuwa kinamsaidia sana yeye na kuweza kupata mapokeo makubwa  katika maonesho yake mbalimbali kutokana na kumtanguliza Mungu.

‘’Mi situmii ndumba kabisa na kitu ambcho huwa nakifanya kabla ya kupanda jukwaani mi huwa nasali na nikimaliza kufanya ‘Show’ vilevile huwa nasali pia  kitu ambacho kinanifanya mimi niwe napata mapokeo makubwa na kufanya ‘Show’ ambazo zinakuwa na shwange nyingi’’ amesema Ney.

Hata hivyo, mkali huyo anayefanya vizuri na wimbo wake wa Acheze ameongeza kuwa kutokana na shangwe ambazo amekuwa anazipata kwenye ‘Show’ zake ni sawa na zile ambazo amekuwa akipata msanii mkongwe wa muziki huu wa Bongo Flave Juma Nature.

Ney ni msanii ambaye amekuwa hataki kukaa kimya hasa katika utoaji wa nyimbo na nyimbo zake nyingi ambazo amekuwa akizitoa zimekuwa zikipata mapokeo na mafanikio makubwa na wakati mwingine kuwashangaza mashabiki wake.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Ney Wa Mitego ajifananisha na Juma Nature
Ney Wa Mitego ajifananisha na Juma Nature
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/10/Nay-Wa-Mitego-Wapo.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/ney-wa-mitego-ajifananisha-na-juma.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/ney-wa-mitego-ajifananisha-na-juma.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy