Ngoma saa 48 chini ya uangalizi wa daktari

SHARE:

Dar es Salaam.  Mshambuliaji wa Yanga, Donaldo Ngoma atakuwa chini ya uangalizi wa daktari kwa saa 48 kuanzia leo Jumatatu, kutokana na m...Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Yanga, Donaldo Ngoma atakuwa chini ya uangalizi wa daktari kwa saa 48 kuanzia leo Jumatatu, kutokana na maumivu ya msuli wa paja la mguu wa kushoto, aliyoyapata katika mchezo wao uliopita dhidi ya Mtibwa Sugar.
Ngoma alipata maumivu hayo kipindi cha pili cha mchezo wakati wanashambulia langoni mwa Mtibwa akashindwa kuendelea na mechi hiyo iliyochezwa Uwanja wa Uhuru.
Daktari wa Yanga, Edward Bavu ameweka wazi maendeleo ya mchezaji huyo kupitia afisa habari, Dismas Ten aliyesema hali ya Ngoma inaendelea vizuri, lakini yuko kwenye uangalizi na hivyo hatafanya mazoezi ndani ya siku hizo mbili za uangalizi.
Ten alisema: "Daktari ameniambia, Ngoma anaendelea vizuri, lakini amepewa saa 48 kwa ajili ya uangalizi na vipimo vingine, ili kujua tatizo lake. Baada ya hapo ndipo itajulikana kama ataanza mazoezi au ataendelea na mapumziko pamoja na matibabu mengine."
Ten ameongeza kwa kusema, mshambuliaji huyo anaungana na Mrundi Amissi Tambwe anaendelea vizuri na anafanya mazoezi magumu ya pamoja na wenzake.
Kama hali itakuwa mbaya, huenda Ngoma akaukosa mchezo ujao wa Kanda ya Ziwa  dhidi ya Kagera Sugar.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Ngoma saa 48 chini ya uangalizi wa daktari
Ngoma saa 48 chini ya uangalizi wa daktari
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/10/ngoma.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/ngoma-saa-48-chini-ya-uangalizi-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/ngoma-saa-48-chini-ya-uangalizi-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy