NJIA ZA KUTIBU TATIZO LA HARUFU MBAYA MIGUUNI

SHARE:

Ni baada ya mizunguko yako mingi mjini na jua kali, umeamua kupitia kwa raiki yako ili upate kupumzika. Hebu fikiria wakati mgumu unaoupa...

Ni baada ya mizunguko yako mingi mjini na jua kali, umeamua kupitia kwa raiki yako ili upate kupumzika. Hebu fikiria wakati mgumu unaoupata pale ambapo inakupasa kuvua viatu vyako ili uingie ndani, wakati huo huo unasumbuliwa na tatizo la harufu mbaya miguuni.
Punde unapoingia ndani rafiki yako anakutambulisha kwa wageni aliopo nao pele kiasi ambacho unakosa hata muda wa kumueleza kuhusu miguu yako.
Mara ghafla tabasamu lililokuwepo katika nyuso za wageni linatoweka ghafla halafu mmoja anaenda kufungua dirisha ili kuruhusu hewa safi iingie ndani.
Au naishi na rafiki mwenye tatizo hilo, Najua huwa unapata wakati mgumu, ila unashindwa kumwambia kwa vile tu ni rafiki yako wa karibu na unahofia kuwa atajisikia vibaya.
Kwa kweli tatizo hili limekuwa likiwasumbua baadhi ya watu hasa wanaume na wamekuwa wakipitia wakati mgumu kujaribu kulitatua.
Hizi ni baadhi ya njia unazoweza kuzitumia ili kupambana na tatizo la harufu mbaya miguuni.
Osha miguu yako vizuri
Kama unasumbuliwa tatizo la harufu mbaya miguuni, hakikisha kuwa kila unapovua viatu vuako, unaiosha miguu yako kwa sabuni na maji safi kisha unaikausha vyema. Wakati unaiosha miguu yako hakikisha unasugua maeneo yote hasa maeneo ya katikati ya vidole.
Chagua viatu vizuri na soksi
Hakuna viatu vibaya, lakini inapokuja kwenye suala la harufu mbaya miguuni, mwenye tatizo hili anapaswa kuchagua viatu ambavyo havitamsababishia kuongezeka kwa tatizo bali vitalipunguza kama siyo kuliondoa kabisa. Vaa viatu vinavyoruhusu hewa kupenya ili miguu yako isitengeneze unyevunyevu.
Kwa upande wa soksi, chagua soksi nyepesi. Usivae soksi zilizotengenezwa kwa pamba, kwani hizo husababisha joto miguuni.
Vile vile hakikisha kula unapovaa viatu unavaa pamoja na soksi. Usijaribu kuvaa viatu bila soksi.
Safisha na ubadilishe viatu vyako kila siku
Ili kuepukana na tatizo la harufu mbaya miguuni, hakikisha kila unapovua soksi zako, unazisafisha. Safisha viatu vyako pia uhakikishe kuwa unabadili viatu mara kwa mara ili kuviacha vipate hewa ya kutosha.
Tumia marashi ya viatu
Ndiyo, yapo marashi maalumu kwa ajili ya watu wenye matatizo ya harufu mbaya miguuni. Jaribu kutumia marashi haya ambayo huondoa haruu ya miguu na kukufanya kunukia vizuri wakati wote.
Pata Ushauri wa Daktari
Wapo watu ambao wamejaribu njia mbalimbali ili kuondokana na tatizo la harufu mbaya miguuni lakini bado hawajafanikiwa. Inawezekana ni tatizo kubwa la kiafya linalohitaji kutatuliwa na wataalamu. JAribu kuonana na daktari ili akufanyie uchunguzi wa kina.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NJIA ZA KUTIBU TATIZO LA HARUFU MBAYA MIGUUNI
NJIA ZA KUTIBU TATIZO LA HARUFU MBAYA MIGUUNI
https://4.bp.blogspot.com/-ajBpm-k6BMU/Wd6DmQREjNI/AAAAAAAAf3U/u7MfXn_0Pu8bEnMb_d8oCFIR6VKUQRzBQCLcBGAs/s1600/x2015-09-04-4-natural-ways-to-get-rid-of-that-awful-shoe-smell-fb-750x375.jpg.pagespeed.ic.-UmCYFT0U9.webp
https://4.bp.blogspot.com/-ajBpm-k6BMU/Wd6DmQREjNI/AAAAAAAAf3U/u7MfXn_0Pu8bEnMb_d8oCFIR6VKUQRzBQCLcBGAs/s72-c/x2015-09-04-4-natural-ways-to-get-rid-of-that-awful-shoe-smell-fb-750x375.jpg.pagespeed.ic.-UmCYFT0U9.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/njia-za-kutibu-tatizo-la-harufu-mbaya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/njia-za-kutibu-tatizo-la-harufu-mbaya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy