NYUMBA YA MSANII BOBI WINE YAPIGWA BOMU

SHARE:

Bobi Wine. TAARIFA kutoka nchini  Uganda  zinasema shambulio la bomu la kutupwa na mkono limepiga kwenye nyumba mbili za wabunge wawi...

Bobi Wine.
TAARIFA kutoka nchini Uganda zinasema shambulio la bomu la kutupwa na mkono limepiga kwenye nyumba mbili za wabunge wawili wa upinzani nchini humo.
Taarifa zinasema kwamba nyumba za wabunge hao wawili ni pamoja na Mwanamuziki Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) ambaye amesema kwamba shambulio hilo lilikuwa likimlenga yeye kwa kile alichosema kupingana na chama tawala ambacho kinataka kubadilisha katiba na kutokuwa na kikomo cha umri wa kuwania urais wa nchi hiyo.
Aidha Mbunge Bobi Wine amesema amekuwa akipokea vitisho vya kuawa takribani kila siku kwa sababu ya kupinga kwake katika mjadala unaoendelea wa kuondoa kikomo cha umri katika kuwania urais nchini Uganda.

Hata hivyo Polisi sasa wanachunguza mashambulizi kwenye nyumba za Mbunge Bobi Wine ambaye anayewakilisha eneo la Kyaddondo West na Allan Ssewanya ambaye ni mbunge wa Makindye West.

Gazeti la New Vision limedai  kuwa wabunge ambao nyumba zao zilishambuliwa ni badhi ya wale waliotimuliwa bungeni kufuatia ghasia wakati wa mijadala kuhusu kuondolewa kwa umri wa kuwania urais.

Bobi Wine amethibitisha kwa kusema kuwa hakuna mtu aliyejeruhiwa nyumbani kwake hata baada ya shambulio hilo.

Wabunge Kyagulanyi na Allan Ssewanyana wamesema nyumba zao zilitetemeshwa na mlipuko huo na madirisha kuvunjika kutokana na mlipuko huo. Msemaji wa serikali amekanusha serikali kuhusika na shambulio hilo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NYUMBA YA MSANII BOBI WINE YAPIGWA BOMU
NYUMBA YA MSANII BOBI WINE YAPIGWA BOMU
https://1.bp.blogspot.com/-gbSGeH8NvOU/WdS7OqKx7ZI/AAAAAAAAfdA/1Gw8TN7JCF0QCNS7lzsJVXapIoLRYiASgCLcBGAs/s1600/Bobi-Wine.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-gbSGeH8NvOU/WdS7OqKx7ZI/AAAAAAAAfdA/1Gw8TN7JCF0QCNS7lzsJVXapIoLRYiASgCLcBGAs/s72-c/Bobi-Wine.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/nyumba-ya-msanii-bobi-wine-yapigwa-bomu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/nyumba-ya-msanii-bobi-wine-yapigwa-bomu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy