PIUS MSEKWA ANENA HOJA YA KUONGEZA MUDA WA WABUNGE

SHARE:

Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Pius Msekwa amesema Chama cha Mapinduzi hakiwezi kukubaliana na maoni au mpango wa kuongeza muda wa k...

Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Pius Msekwa amesema Chama cha Mapinduzi hakiwezi kukubaliana na maoni au mpango wa kuongeza muda wa kiongozi yeyote kutoka kipindi cha miaka mitano kilichopo kikatiba kwa sasa.
Msekwa ametoa kauli hiyo wakati huu ambapo mbunge wa Chemba kupitia CCM, Juma Nkamia amefikisha hoja binafsi ya bunge kushawishi kuongeza muda wa utawala kutoka miaka mitano hadi saba huku Mbunge John Heche wa Tarime Vijijini akitaka muda upunguzwe kutoka miaka mitano hadi minne.
Hatua za wabunge hao wawili ndizo ziliisukuma Azam Tv kuzungumza na Spika mstaafu, Pius Msekwa ambaye kwa uzoefu wake bungeni amesema tayari anaona kuna tafakari nyingi zilizofanywa kabla ya Taifa kuamua kipindi cha utawala kuwa miaka mitano na si vinginevyo.
Msekwa amesema, hoja hiyo inabidi iangaliwe kwa umakini mkubwa kutokana na ukweli kuwa, iwapo kiongozi atakuwa mbaya, maisha yanaweza kuwa ya mateso kupitia kiongozi huyo na kuongeza kuwa hilo hata Hayati Baba wa Taifa, Julius Nyerere aliliona hilo.
“Ni kwamba miaka kumi tu inatosha, ili kama mtu ni mbaya tuvumilie kwa hiyo miaka kumi, na siyo kwamba haikufikiriwa. .na sidhani kama CCM itakuwa na nafasi ya kujadili hilo kwa sasa” alisema Msekwa.
Kuhusu mtoa hoja Juma Nkamia kwa upande wake amesema, hoja anayopanga kuiwasilisha bungeni ya ukomo wa muda wa uongozi kwa nafasi ya ubunge bado haijawa wazi, lakini anacholenga yeye kutaka muda uongozwe ni kwasababu ya kuangalia gharama.
“ Uchaguzi ni gharama, sasa nilichotaka ni nafasi ya ubunge kuongezwa muda, nikimaanisha ule uchaguzi wa serikali za mitaa ufanyike kwa pamoja na  uchaguzi huo, wapiga kura wachague nafsi nne,”
Kwa mujibu wa katiba kwa sasa mathalani rais ataongoza kwa miaka mitano na baada ya hapo ataruhusiwa tena kuwania kipindi kingine cha muda huo japo ni tofauti kwa nafasi za ubunge na udiwani ambao hawana ukomo kwa sasa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: PIUS MSEKWA ANENA HOJA YA KUONGEZA MUDA WA WABUNGE
PIUS MSEKWA ANENA HOJA YA KUONGEZA MUDA WA WABUNGE
https://3.bp.blogspot.com/-HFM0mpGpkoY/Wd9Lsba2XGI/AAAAAAAAf-o/GEIvWPXnvMwTXeo5IQRcN-7enuH4XROgwCLcBGAs/s1600/msekwa.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-HFM0mpGpkoY/Wd9Lsba2XGI/AAAAAAAAf-o/GEIvWPXnvMwTXeo5IQRcN-7enuH4XROgwCLcBGAs/s72-c/msekwa.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/pius-msekwa-anena-hoja-ya-kuongeza-muda.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/pius-msekwa-anena-hoja-ya-kuongeza-muda.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy