PROF. MBARAWA AWAONYA WAKANDARASI WANAOPENDA RUSHWA

SHARE:

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, ameitaka Bodi ya Wakandarasi kuwachukulia hatua za kisheria wakandaras...

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, ameitaka Bodi ya Wakandarasi kuwachukulia hatua za kisheria wakandarasi, wabunifu na wasanifu majengo ikiwa ni pamoja na kuwafutia usajili wote watakaokiuka kanuni na sheria za kazi ikiwa ni pamoja na suala zima la kutoa na kupokea rushwa.
Profesa Mbarawa ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua semina ya 28 ya bodi ya wakandarasi, wasanifu majengo na wabunifu majengo jijini Dar Es  Salaam ambapo mambo mbalimbali ikiwemo kutoa mwanga kwa wakandarasi wa aina za nyumba za kujenga maeneo yenye tetemeko la ardhi.
Waziri Mbarawa amesema sekta ya ujenzi imekuwa ikinyoshewa kidole cha lawama za kushiriki vitendo vya rushwa kutokana na baadhi ya wakandarasi kutoa au kupoke fedha ili kupatiwa miradi ya kusimamia jambo linaloichafua Bodi hiyo.
Waziri pia amewataka makatibu wakuu pamoja na bodi ya wakandarasi kuwapeleka vijana chipukizi katika miradi mbalimbali kwa lengo la kujifunza ili  wapate ujuzi kwa ajili ya kuongeza idadi ya wataalamu nchini.
Awali Kaimu Mwenyekiti wa bodi hiyo  ameweka bayana changamoto mbalimbali zinazowakabili katika sekta hiyo  miongoni ikiwa ni kutotambulika na wananchi ambapo waziri Mbarawa amefafanua chanzo cha tatizo hilo kuwa ni pamoja na gharama kubwa  wanazotoza.
Wakandarasi  hao wametakiwa kushirikiana na wakandarasi  wa nchi mbalimbali ili kubadilishana  uzoefu katika nchi zilizoendelea kiteknolojia.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: PROF. MBARAWA AWAONYA WAKANDARASI WANAOPENDA RUSHWA
PROF. MBARAWA AWAONYA WAKANDARASI WANAOPENDA RUSHWA
https://2.bp.blogspot.com/-4LfYGzmqNYE/Wd-7wT15B5I/AAAAAAAAgBs/makG5fkPAuoaEuSYCVYsUuOBEqqdp5TwQCLcBGAs/s1600/mbarawa_1507830145-1600x705.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-4LfYGzmqNYE/Wd-7wT15B5I/AAAAAAAAgBs/makG5fkPAuoaEuSYCVYsUuOBEqqdp5TwQCLcBGAs/s72-c/mbarawa_1507830145-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/prof-mbarawa-awaonya-wakandarasi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/prof-mbarawa-awaonya-wakandarasi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy