RADI YAUA NG'OMBE WANNE, KONDOO WANANE MKOANI MARA

SHARE:

Radi kubwa iliyopiga katika Kitongoji cha Rwamakendo imesababisha maafa baada ya kuua ng'ombe wanne na Kondo wanane mali ya Daniel Ma...

Radi kubwa iliyopiga katika Kitongoji cha Rwamakendo imesababisha maafa baada ya kuua ng'ombe wanne na Kondo wanane mali ya Daniel Makondo, mkazi wa Kata ya Morotonga wilayani Serengeti mkoani Mara.
Mara baada ya kutokea kwa tukio hilo, Afisa Mifugo wa eneo hilo aliamuru wanyama hao wazikwe suala ambalo lilipingwa na wananchi hao waliotaka mifugo hiyo ichinjwe na kugawana nyama.
Tukio hilo limetokea Oktoba 11, mwaka huu ambapo Daniel Makondo na Mwenyekiti wa kitongoji cha Rwamakendo ambapo wanasema, radi hiyo ilipiga majira ya usiku na walipotoka walikuta hali hiyo.
Afisa Mifugo katika Kata ya Morotonga, Matinde Nyagawa kwa upande wake amesema, ameamuru nyama hiyo kufukiwa kwasababu wanyama hao hawakufanyiwa uchunguzi wa awali kama ilivyopaswa huku Mkurugenzi wa Haki za Binadamu Serengeti, Samuel Mewama akiitaka serikali imuwezesha mfugaji huyo katika kufidia hatri iliyoipata.
Baadhi ya wananchi waliopinga agizo hilo la kuzikwa kwa mifugo hiyo wamemtaka mtaalamu huyo kupima nyama za mifugo hiyo, ili wabaini tatizo kwanza na itakayobainika haina shida nyama yake igawiwe huku wengine wakisema, kifo cha wanyama hao ni cha ghafla hivyo hawaoni tatizo la nyama yake kuliwa kwani hawakufa kwa magonjwa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RADI YAUA NG'OMBE WANNE, KONDOO WANANE MKOANI MARA
RADI YAUA NG'OMBE WANNE, KONDOO WANANE MKOANI MARA
https://1.bp.blogspot.com/-l66Ni7NkMZk/WeDZ4R9qdRI/AAAAAAAAgOw/nHY9Ffiby3kAPdqEtIBwxLSGsoFeZ67EwCLcBGAs/s1600/WAMEKUFA_1507892896-1600x705.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-l66Ni7NkMZk/WeDZ4R9qdRI/AAAAAAAAgOw/nHY9Ffiby3kAPdqEtIBwxLSGsoFeZ67EwCLcBGAs/s72-c/WAMEKUFA_1507892896-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/radi-yaua-ngombe-wanne-kondoo-wanane.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/radi-yaua-ngombe-wanne-kondoo-wanane.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy