RAIS MAGUFULI AZUSHIWA TAARIFA YA UONGO MITANDAONI

SHARE:

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa zinazosambazwa mitandaoni kumhusu Rais Dkt John Pombe Magufuli ...

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa zinazosambazwa mitandaoni kumhusu Rais Dkt John Pombe Magufuli na kutaka wananchi kuzipuuza.
Msigwa, kupitia ukurasa wake wa Twitter amekanusha taarifa zinazodai kuwa leo Oktoba 10 ni siku ya kuzaliwa ya Rais Magufuli, huku akisema kuwa tarehe sahihi ya kuzaliwa ya kiongozi huyo wa nchi ni Oktoba 29.
“Taarifa zinazoenezwa kuwa leo tarehe 10.10 ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Magufuli sio kweli. Mhe. Dkt John P.J. Magufuli alizaliwa 29.10.1959.”
Taarifa zinazoenezwa kuwa leo tarehe 10.10 ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Magufuli sio kweli. Mhe. Dkt John P.J. Magufuli alizaliwa 29.10.1959

Watu wengi waliotoa maoni yao kuhusu kanusho hilo, wamesema kwamba hawajaiona taarifa yenyewe inayosema leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais, lakini wengine wakaeleza kwamba, hiki hakikuwa kitu cha msingi cha kukanusha kwani tarehe ya kuzaliwa ya Rais inaweza kupatikana kirahisi mtandaoni.
Taarifa zinazoenezwa kuwa leo tarehe 10.10 ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Magufuli sio kweli. Mhe. Dkt John P.J. Magufuli alizaliwa 29.10.1959
Taarifa zinazoenezwa kuwa leo tarehe 10.10 ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Magufuli sio kweli. Mhe. Dkt John P.J. Magufuli alizaliwa 29.10.1959
😀😀😀,,,mbona mm hiyo taarifa sijaiona au tunaambiwa kijanja tukae tukijua

Taarifa zinazoenezwa kuwa leo tarehe 10.10 ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Magufuli sio kweli. Mhe. Dkt John P.J. Magufuli alizaliwa 29.10.1959
Ooh! km Rais wa Liberia Bi Jonson naye ni tar 29 Oktoba japo miaka tofauti ! Safi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RAIS MAGUFULI AZUSHIWA TAARIFA YA UONGO MITANDAONI
RAIS MAGUFULI AZUSHIWA TAARIFA YA UONGO MITANDAONI
https://2.bp.blogspot.com/-SMc7Tn11AAo/Wd0Ooka9iEI/AAAAAAAAfuY/uzw-jOTJegMoRYDGK5x9mB9bKLHo0V9gQCLcBGAs/s1600/x13-1-2-660x375.jpg.pagespeed.ic.4JkfstE6Tn.webp
https://2.bp.blogspot.com/-SMc7Tn11AAo/Wd0Ooka9iEI/AAAAAAAAfuY/uzw-jOTJegMoRYDGK5x9mB9bKLHo0V9gQCLcBGAs/s72-c/x13-1-2-660x375.jpg.pagespeed.ic.4JkfstE6Tn.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/rais-magufuli-azushiwa-taarifa-ya-uongo_10.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/rais-magufuli-azushiwa-taarifa-ya-uongo_10.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy