RC TABORA AWATAKA VIONGOZI WA KIROHO KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA MATUMIZI YA BANGI

SHARE:

Serikali ya Mkoa wa Tabora imetoa wito kwa viongozi wa dini mbalimbali mkoani hapa kutumia nafasi zao katika kusaidia mapambano dhidi ya ...

Serikali ya Mkoa wa Tabora imetoa wito kwa viongozi wa dini mbalimbali mkoani hapa kutumia nafasi zao katika kusaidia mapambano dhidi ya kilimo na matumizi dawa za kulevya aina ya bangi katika jamii.
Kauli hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati akifungua mkutano wa siku tatu wa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi Watendaji, Wakuu wa Idara na viongozi wa dini mkoani hapa.
Alisema kuwa vitendo vingine vya uhalifu katika jamii vinasababishwa na matumizi ya dawa za kulevya kama vile bangi ambazo zinawapelekea baadhi ya vijana kuchukua maamuzi mwngine ya kujichukulia sheria mikononi.
Mwanri alisema kuwa pamoja na kuwa Serikali ya Mkoa wa Tabora kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi imekuwa ikiendesha zoezi la kufyeka mashamba ya bangi katika mapori mbalimbali bado viongozi wa kiroho wanayo nafasi ya kuwaelimisha Waumini wao kuepuka matumizi na kilimo cha zao hilo haramu ili kuhakikisha vijana wanakuwa katika maadili mazuri na sio yale ya kuelekezwa na bangi.
Alisema kuwa matumzi ya bangi yamesababisha baadhi ya vijana kukosa hata heshima hata kuwa tayari kupambana na wazee au watu wanaowazidi umri bila kuzingatia kuwa kufanya hivi ni kinyume na utamaduni mwa Mtanzania ambao unawataka vijana kuwa heshimu watu wazima.
Mwanri aliongeza kuwa vitendo vya matumizi ya bangi viachwa vikaendelea na hatimaye vikajipenyeza hadi mashuleni upo uwezekano wa kuharibu na wanafunzi na kusababisha vurugu.
“Tunawaomba sana viongozi wetu wa kiroho mtusaidie kuhusu suala la bangi…utamkuta kijana ameshavuta na kuanza kusema bangi ni bangue …bangi nipe nguvu nikapigane na fulani…jambo linaonyesha kuwa bangi umsababisha kijana kupenda kutafura shari,” alisisitiza Mkuu huyo Mkoa.
Akitoa mada kuhusu hali ya ulinzi na usalama kwa kipindi cha Januari hadi Septemba mwaka huu , Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Wilbroad Mtafungwa alisema kuwa katika kipindi hicho kumekuwepo na matukio 167 ya watu kupatikana na dawa za kulevya aina ya bangi.
Alisema kuwa jeshi la Polisi mwaka huu limefanikiwa kukamata dawa nyingi za kulevya ikiwemo bangi kutokana na misako kuongezeka na kufanikiwa kuwakata watuhumiwa na kugundua maeneo ambao wamekuwa wakilimia bangi katika mapori mbalimbali.
Aidha Kamando hiyo wa Mkuu wa Tabora alitoa wito kwa viongozi wa kiroho kusaidia kutoa elimu juu ya kuepuka imani ya kishirikina ambazo ndizo zimekuwa zikisababisha mauaji wa wazee na walemavu.
Kwa upande wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Askofu Mkuu Mihayo Tabora (AMUCTA) Padre Dkt. Juvenalis Asantemungu alisema anakusudia kutunga kitabu kitakachohusu maadili kwa ajili ya kuelimisha jamii ya wakazi wa Tabora na maeneo mengine ili kuzingatia maadili na kuepukana na vitendo vya kuwachoma wazee kwa imani za kishirikina.
Alisema kuwa mtu anayezingatia maadili hawezi kutenda uovu huo wa kukatisha maisha ya wazee kwa sababu ya kuona kuwa wamekuwa na macho mekundu kutokana na mazingira wanayoishi.
Mkutano huo wa siku tatu ambao mada mbalimbali zinajadiliwa na ulioandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora umewahusisha Wakuu wa Wilaya zote, Wakurugenzi Wote , Wakuu wa Idara zote , Taasisi za Umma zote na viongozi wa dini kwa lengo la kumbushana majukumu ya kila mmoja ili kuboresha huduma kwa wananchi.
Na Tiganya Vincent, RS-Tabora

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RC TABORA AWATAKA VIONGOZI WA KIROHO KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA MATUMIZI YA BANGI
RC TABORA AWATAKA VIONGOZI WA KIROHO KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA MATUMIZI YA BANGI
https://3.bp.blogspot.com/-8fykV1GwOck/Wd8q7jSXFyI/AAAAAAAAf9A/QQmAqPVHAjckDVKrRUS6uKk1qiMPjl-7gCLcBGAs/s1600/Aggrey-Mwanri-750x375.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-8fykV1GwOck/Wd8q7jSXFyI/AAAAAAAAf9A/QQmAqPVHAjckDVKrRUS6uKk1qiMPjl-7gCLcBGAs/s72-c/Aggrey-Mwanri-750x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/rc-tabora-awataka-viongozi-wa-kiroho.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/rc-tabora-awataka-viongozi-wa-kiroho.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy