SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MJADALA KUHUSU TUNDU LISSU

SHARE:

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, (IGP) Simon Sirro ametaka mjadala kuhusu kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tund...

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, (IGP) Simon Sirro ametaka mjadala kuhusu kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, usitishwe mara moja.
IGP Sirro ametoa agizo hilo amelitoa mapema leo akiwa ziarani jijini Mbeya wakati akizungumza na vikosi vya ulinzi na usalama ambapo amewaonya wanasiasa kuacha kuuendeleza na mijadala kuhusu tukio hilo huku akitaka Jeshi la Polisi analoliongoza liachwe lifanye kazi yake kwa umakini bila kuingiliwa.
Akizungumzia madai yaliyotolewa hivi karibuni na familia ya Tundu Lissu kuwa, Jeshi la Polisi halina nia ya dhati ya kushughulikia tatizo hilo, IGP Sirro amesema hawezi kujibu chochote kwa sababu hataki kuingia kwenye malumbano na familia hiyo.
Familia ya Lissu ilitoa madai hayo baada ya kuona takribani mwenzi mmoja sasa tangu ndugu yao ashambuliwe hakuna mtu yeyote aliyekamatwa kwa tuhuma za kuhusushwa na tukio hilo, na hivyo kutaka polisi washirikiane na vyombo vya kimataifa kutafuta wahalifu hao.
Awali, Polisi walisema kuwa wanamhitaji dereva wa Lissu ambaye anye anapatiwa matibabu Nairobi arejee nchini ili kusaidia kukamilisha upelelezi, jambo ambalo lilipingwa vikali na viongozi wa CHADEMA.
Baadhi ya viongozi waliotoa maoni yao kuhusu kauli hiyo waliuliza, ingekuwa vipi kama dereva huyo, au Lissu mwenyewe wangefariki katika shambulio hilo? Ina maana Polisi wasingefanya upelelezi? Au kama watarudi nchini baada ya miaka miwili, ni kwamba upelelezi huo utangoja miaka miwili, alihoji Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MJADALA KUHUSU TUNDU LISSU
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MJADALA KUHUSU TUNDU LISSU
https://3.bp.blogspot.com/-OgdZfJEMKBU/WdqNPIwQMLI/AAAAAAAAflU/4ED79R9YLVQFYIJi6_N7b0nam6_Tbq6LgCLcBGAs/s1600/xTundu-Lissue-640x375.jpg.pagespeed.ic.N9F-NyPYyP.webp
https://3.bp.blogspot.com/-OgdZfJEMKBU/WdqNPIwQMLI/AAAAAAAAflU/4ED79R9YLVQFYIJi6_N7b0nam6_Tbq6LgCLcBGAs/s72-c/xTundu-Lissue-640x375.jpg.pagespeed.ic.N9F-NyPYyP.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/serikali-yapiga-marufuku-mjadala-kuhusu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/serikali-yapiga-marufuku-mjadala-kuhusu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy