SERIKALI YASALIMU AMRI YAMPELEKA SETH MUHIMBILI

SHARE:

Upande wa Jamhuri umetekeleza amri iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kumpeleka mmiliki wa Kampuni ya  IPTL, Harbinder Sin...

Upande wa Jamhuri umetekeleza amri iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kumpeleka mmiliki wa Kampuni ya  IPTL, Harbinder Singh Sethi  kutibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Taarifa hiyo imetolewa na Wakili wa serikali kutoka Takukuru, Leornad Swai mbele ya Hakimu Mkazi, Huruma Shaidi na kuongeza kuwa, mshtakiwa  alifanyiwa vipimo na atapelekwa tena hospitalini hapo kuchukua majibu baada ya wiki moja.
Sethi ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya uhujumu Uchumi anashtakiwa pamoja na James Rugemarila ambapo kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka 12 ikiwemo kutakatisha fedha na kuisababisha serikali hasara ya dola za Marekani zaidi ya milioni 22.2 na kiasi kingine cha shilingi bilioni 309.4.
Baada ya taarifa hiyo Wakili wa utetezi, Respicius Didas alilalamikia kucheleweshwa kwa upelelezi na kudai kuwa washtakiwa walifika mahakamani kwa mara ya kwanza Juni 19, kipindi chote hicho wamekuwa wakiteseka kwa kukaa ndani huku Jamhuri wakiendelea kurusha kalenda kwa madai ya upelelezi haujakamilika.
Akijibu hoja ya kuchelewa kukamilika kwa upelelezi, Wakili Swai amedai, kesi inayowakabili watuhumiwa ni ya kughushi ambayo upelelezi wake unachukua muda mrefu na sheria iko wazi kwa hilo lakini watajitahidi kukamilisha upelelezi huo kwa haraka.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SERIKALI YASALIMU AMRI YAMPELEKA SETH MUHIMBILI
SERIKALI YASALIMU AMRI YAMPELEKA SETH MUHIMBILI
https://4.bp.blogspot.com/-ehGoVt_x95I/WeD8Rmq1XnI/AAAAAAAAgP8/RINcB-DOmXw3W4idKfyFGhPeJXmax7KIACLcBGAs/s1600/rugemalila-seth_1507915637-1600x705.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-ehGoVt_x95I/WeD8Rmq1XnI/AAAAAAAAgP8/RINcB-DOmXw3W4idKfyFGhPeJXmax7KIACLcBGAs/s72-c/rugemalila-seth_1507915637-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/serikali-yasalimu-amri-yampeleka-seth.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/serikali-yasalimu-amri-yampeleka-seth.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy