TAARIFA ALIPO KINANA NA SABABU YA KUTOHUDHURIA VIKAO VYA CCM

SHARE:

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema kwamba, Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana hajahudhuria vikao vya Kamati Kuu na Halmashau...

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema kwamba, Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana hajahudhuria vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kutokana na kuomba udhuru kwani anamuuguza mwanafamilia wake wa karibu sana.
Hayo yamewekwa bayana leo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole alipokuwa akijibu swali la mmoja wa waandishi wakati wa mkutano wake na wanahabari akielezea kilichojadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo Ikulu.
Polepole akijibu swali hilo alisema kuwa, taarifa zinazosambazwa kwamba katibu mkuu ameandika barua ya kujiuzulu sio kweli na kuwatoa hofu wanachama wa chama hicho kwamba hakuna barua yoyote itakayoandikwa.
“Hakuna barua wala hakuna tetesi ya barua itakayoandikwa. Naomba tuwe na utu, kwenye chama chetu utu ni imani.
Licha ya Kinana kutokuonekana katika vikao hivyo nyeti vya chama, Polepole amesema kwamba alishiriki hadi dakika ya mwisho katika maandalizi ya kufanikisha vikao hivyo.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt Magufuli amesema kuwa Kinana alimuaga na yeye akampa ruhusa kwenda Ulaya kwa ajili ya matibabu ya mtoto wake.
Akitole ufafanuzi zaidi mwenyekiti alisema kuwa Mtoto wa Kinana anasumbuliwa na matatizo ya figo ndio sababu hajaonekana kwenye vikao vya chama.
Aidha,  Rais Magufuli amewataka wanachama wa chama hicho kuzidi kumuombea Kinana ili mtoto wake apone arejee nchini.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TAARIFA ALIPO KINANA NA SABABU YA KUTOHUDHURIA VIKAO VYA CCM
TAARIFA ALIPO KINANA NA SABABU YA KUTOHUDHURIA VIKAO VYA CCM
https://3.bp.blogspot.com/-Kg8MAHqbtfQ/WdCrItt9xUI/AAAAAAAAfaM/9okOxAu_yaYFv_YS9lD1huT-UjGYorlQgCLcBGAs/s1600/x14-7-640x375.jpg.pagespeed.ic._-Wj_xH0mV.webp
https://3.bp.blogspot.com/-Kg8MAHqbtfQ/WdCrItt9xUI/AAAAAAAAfaM/9okOxAu_yaYFv_YS9lD1huT-UjGYorlQgCLcBGAs/s72-c/x14-7-640x375.jpg.pagespeed.ic._-Wj_xH0mV.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/taarifa-alipo-kinana-na-sababu-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/taarifa-alipo-kinana-na-sababu-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy