THAMANI YA SHILINGI YA TANZANIA YAPOROMOKA

SHARE:

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jana ilitoa taarifa kuhusu hali ya uchumi wa nchi, taarifa iliyolewa inaonyesha hali si nzuri ambapo uchu...

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jana ilitoa taarifa kuhusu hali ya uchumi wa nchi, taarifa iliyolewa inaonyesha hali si nzuri ambapo uchumi kusinyaa na kudidimia, mfumuko wa bei umepanda na thamani ya shilingi kudidimia.
Katika taarifa hiyo, Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba, 2017 umeongezeka hadi asilimia 5.3 kutoka asilimia 5.0 mwezi Agosti, 2017. Hii ikimaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba, 2017 imeongezeka ikilinganishwa na kasi ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Agosti, 2017.
Baadhi ya bidhaa za vyakula zilizochangia kuongezeka kwa mfumuko wa bei ni pamoja na dagaa kwa asilimia 7.6, matunda makavu kama nazi kwa asilimia 3.1, viazi vitamu kwa asilimia 3.0, mchele kwa asilimia 1.5 na ndizi za kupika kwa asilimia 1.5.
Kwa upande mwingine, baadhi ya bidhaa zisizo za chakula zilizochangia kuongezeka kwa mfumuko wa bei ni pamoja na mkaa kwa asilimia 4.0, dizeli kwa asilimia 2.4 na petroli kwa asilimia 0.6.
Bidhaa hizo hutumiwa kwa wiki na watu wengi, hivyo kupanda kwa mfumuko wa bei uliosababishwa na bidhaa hizo, unaashiria kwamba, gharama ya maisha inazidi kuongezeka.
NBS wameeleza kuwa, uwezo wa shilingi 100 ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma umefikia shilingi 92 na senti 18 mwezi Septemba, 2017 ikilinganishwa na shilingi 92 na senti 20 ilivyokuwa mwezi Agosti, 2017.
Thamani ya Shilingi ya Tanzania hupima badiliko la Uwezo wa Shilingi ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma zilezile za mlaji ambazo Shilingi ya Tanzania ingeweza kununua katika vipindi tofauti. Ikiwa Fahirisi za Bei za Taifa zinaongezeka, Uwezo wa Shilingi ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma hupungua.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: THAMANI YA SHILINGI YA TANZANIA YAPOROMOKA
THAMANI YA SHILINGI YA TANZANIA YAPOROMOKA
https://1.bp.blogspot.com/-0pucevPZNhE/WdzwvMY0ssI/AAAAAAAAft8/tuPAQGn5Dr0oIDw9tz4JaVxCJmVHvuf2ACLcBGAs/s1600/160608165854_tanzania_money_512x288_bbc_nocredit.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-0pucevPZNhE/WdzwvMY0ssI/AAAAAAAAft8/tuPAQGn5Dr0oIDw9tz4JaVxCJmVHvuf2ACLcBGAs/s72-c/160608165854_tanzania_money_512x288_bbc_nocredit.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/thamani-ya-shilingi-ya-tanzania.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/thamani-ya-shilingi-ya-tanzania.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy